Uchaguzi 2020 AAFP yawakaribisha wagombea wa Ubunge waliokosa nafasi vyama vingine

Uchaguzi 2020 AAFP yawakaribisha wagombea wa Ubunge waliokosa nafasi vyama vingine

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191
Chama Cha Wakulima (AAFP) kimewataka wagombea waliokosa nafasi za ubunge na udiwani kwenye vyama vingine vya Siasa kijitokeza kuchukua fomu kupitia chama hicho kwani bado wanazo nafasi nyingi zilizo wazi

Chama hicho pia kimemteua Seif Maalim Seif kuwa mgombea urais kwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania huku Rashid Rai ambaye ni Katibu Mkuu wa chama akiteuliwa kuwa mgombea mwenza.

Chama hicho pia kimemteua Said Sudi Said kuwa mgombea urais wa Zanzibar
1595560675473.png
 
Nilitegemea wajikite na upatikanaji wa mbolea zaidi.
 
Back
Top Bottom