Aamua Kuuza Kende yake moja ili kuondokana na Umasikini mkubwa unaomkabili

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Watu walipokuwa wakisema ukistaajabu ya Musa utayaona ya Firauni msidhani walikuwa wanabahatisha tu bali walikuwa wakimaanisha vilivyo.

Katika hali isiyokuwa ya Kawaida Raia mmoja wa Kenya aitawe Ian Herriel Kawori ameamua Kuuza Pumbu / Kende yake moja kwa Bei ya juu ili aondokane na Umasikini mkubwa unaomkabili.

Alipoulizwa ni kwanini ameamua hivyo jibu lake lilikuwa ni jepesi tu ambapo alisema kwamba haoni sababu ya Kuwa na Mapumbu / Makende yote mawili ambayo kila mara tu yanamsumbua na kuchezacheza katikati ya Miguu yake huku kukiwa na Binadamu mwingine ambaye anashinda na Pumbu / Kende kwa Gharama yoyote ile.

Akazidi tena kusema kuwa ana uhakika kuwa hata hiyo Pumbu / Kende yake moja ikitolewa na akaiuza bado anaweza akafanya Tendo la Ndoa bila wasiwasi. Alidai kwamba hata katika Mpira Timu ambayo huwa inakuwa pungufu ndiyo huwa inacheza Mpira kwa bidii na kupata matokeo chanya hivyo hata Yeye anaweza Kubandua / Kutindua Wanawake kwa hiyo hiyo Pumbu / Kende ' moko ' yake na bado Wanawake wakaridhika na hata wengine kukimbia na kusahau Chupi zao Kitandani kwa aina ya ' Msuguano ' wa Kutukuka atakaokuwa anawapa.

Nawasilisha.

Chanzo Taarifa: Standard Digital
 
Waje nawapa zote 2 na mkonga wake.
 
Kijana una vituko sana.
 
genta umeadimika, ulikuwa wapi?
 
Ndiyo baada ya Kula ' BAN ' ya Wiki mbili ( Siku 14 ) takatifu na zilizotukuka.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkuu popoma gani huyo alikuzingua mpaka refa akaamua kukupa red card?

Maendeleo hayana chama
 
Yamepita tugange yajayo Mkuu nisije nikajibu hapa halafu nikazawadiwa ' BAN ' nyingine bure! Bora niikose ' Mbunye ' ya Mwanamke yoyote Yule hata kwa miezi Mitatu ila siyo nikose kuwepo hapa Jamvini JamiiForums hata kwa Siku 7 au 14 kwani huwa inaniathiri na kunitesa mno Akili kwakuwa hakuna kitu ambacho kinanipa furaha, raha na amani ya Moyo kama Mtandao wangu huu pendwa na uliobarikiwa wa JamiForums.
 
Hapo wateja wakija TZ baaaaasi nchi itapatwa na janga kubwa litalotishia kupotea kwa viumbe jamii ya wanaume

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pia nauza" nimeuza figo moja lkn bado nahitaj pesa mie
 
hasa pumbu moja utaifanyia nini?? au utaichoma kama mshikaki? 🙄🙄😀
 
Back
Top Bottom