GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Watu walipokuwa wakisema ukistaajabu ya Musa utayaona ya Firauni msidhani walikuwa wanabahatisha tu bali walikuwa wakimaanisha vilivyo.
Katika hali isiyokuwa ya Kawaida Raia mmoja wa Kenya aitawe Ian Herriel Kawori ameamua Kuuza Pumbu / Kende yake moja kwa Bei ya juu ili aondokane na Umasikini mkubwa unaomkabili.
Alipoulizwa ni kwanini ameamua hivyo jibu lake lilikuwa ni jepesi tu ambapo alisema kwamba haoni sababu ya Kuwa na Mapumbu / Makende yote mawili ambayo kila mara tu yanamsumbua na kuchezacheza katikati ya Miguu yake huku kukiwa na Binadamu mwingine ambaye anashinda na Pumbu / Kende kwa Gharama yoyote ile.
Akazidi tena kusema kuwa ana uhakika kuwa hata hiyo Pumbu / Kende yake moja ikitolewa na akaiuza bado anaweza akafanya Tendo la Ndoa bila wasiwasi. Alidai kwamba hata katika Mpira Timu ambayo huwa inakuwa pungufu ndiyo huwa inacheza Mpira kwa bidii na kupata matokeo chanya hivyo hata Yeye anaweza Kubandua / Kutindua Wanawake kwa hiyo hiyo Pumbu / Kende ' moko ' yake na bado Wanawake wakaridhika na hata wengine kukimbia na kusahau Chupi zao Kitandani kwa aina ya ' Msuguano ' wa Kutukuka atakaokuwa anawapa.
Nawasilisha.
Chanzo Taarifa: Standard Digital