Aanzeje kumfukuza?

CharmingLady

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2012
Posts
18,296
Reaction score
12,972
Eva na anna walisoma o-level darsa 1.baadae wakapotezan kwa miaka10.walipokutana tena Eva alikuwa mfanyakaz na pia alikuwa na duka.Anna hakuwa na kazi yoyote bal alikuwa kapangishiwa nyumba na mme wamtu.Haikuchukua muda Anna akagonganisha mabwana na hatimaye akafukuzwa na mme wamtu huyo,aliambulia nguo tu kwan alinyang'anywa kila kitu.Eva alimpokea,wakaish kwa miez4 sasa.tabia ya Anna imebadilika mpk anapeleleka mabwana tofautx2 nyumban kwa Eva,akiwa hayupo.Eva anauliza aanzeje kumfukuza anamkera kwa tabia
https://www.jamiiforums.com/newthread.php?do=newthread&f=62
 
Kwani alianzaje kumkaribisha?
njia ndo ile ile
 
tabia inayomkera sana ni kuwa Anna anakula, analala na anafanya kila kitu bila kuchangia chochote. amemkabidhi duka amsaidie kwani Eva hajapata mfanyakazi wa dukani, akaona amuweke rafiki yake huyo ili asiwe bored. lakini Anna amegeuza duka kama danguro la kupiga story na mabwana tofauti tofauti na hiyo haitoshi anawapeleka mpaka nyumbani kwa Eva na kuwapikia chakula kwa pesa ya Eva. jamani wana MMU naomba tumpe ushauri Eva. afanyeje ili aondokane na rafiki mnyonyaji?
 
Kwani alianzaje kumkaribisha?
njia ndo ile ile

mkuu, alimkaribisha akitegemea atakaa kwa muda mfupi akitafuta ustaarabu wa maisha,lakini Anna anaonekana hana mpango / dalili ya kuondoka. mbaya zaidi amekuwa na sauti kuliko Eva ilhali Anna hana hata kijiko wala mchango wa chumvi katika nyumba ya Eva!
 
me sioni kazi hapo zaidi ya kumwambia ukweli kwamba tabia zao haziendani
 
mmmmh, yaani mtu alete mabwaba nyumbani kwako bado uulize umfukuzeje????

Kuna tofauti kati ya nyumba na nyumbani.
Kama hapo kwake ni nyumba basi amwache, ila kama ni nyumbani, sijui hata alianzaje kuwapeleka.
 
Hakuna KUMFICHA NI KUMWAMBIA UKWELI TU KWAMBA HARIDHIKI NA TABIA AKE KWAHIYO AONDOKE AMA AJIREKEBISHE
 
mmmmh, yaani mtu alete mabwaba nyumbani kwako bado uulize umfukuzeje????

Kuna tofauti kati ya nyumba na nyumbani.
Kama hapo kwake ni nyumba basi amwache, ila kama ni nyumbani, sijui hata alianzaje kuwapeleka.

ninaposema nyumbani namaanisha nyumbani kwa Eva na sio getto. make ni nyumba kubwa ya kîfamilia na kibaya zaidi sasa hivi mama yake Eva kaja kumtembelea mwanae nyumbani kwa Eva lakini Anna bila aibu anampeleka bwana na kumpikia as if ni nyumbani kwake!
 
Ajifanye anauza nyumba (afanye dili na rafiki zake) na aende likizo kwao kijijini huyo anna atashindwa kwenda kwa wazazi wa eva kwani wazazi hawamtambui.
 
hilo nalo linahitaji ushauri?
Simple dukani atafute mtu, akimpata amwambie shosti off......
Kwa kumsaidia shosti wake amlipie kodi ya miezi 6 amwambie aondoke......
 
Sasa wewe charminglady unafikiri afanyeje? Naona wote waliochangia wamekwambia amfukuze kwa kumwambia ukweli, lkn unaonekana hujatosheka na ushauri. Basi mbadala wake avumilie tu huku akiomba Mungu labda ataacha kuleta wanaume na atapata kibarua sehemu nyingine!
 
Last edited by a moderator:
duh! Na mama yake yupo??

Anamwacha mtu walopotezana miaka 10 analeta mabwana??

Kazi kweli kweli

 
Ajifanye anauza nyumba (afanye dili na rafiki zake) na aende likizo kwao kijijini huyo anna atashindwa kwenda kwa wazazi wa eva kwani wazazi hawamtambui.

kwenda likizo kijijini ama mbali na mji huu ni ngumu kwan Eva ana miradi zaidi ya duka. so akipata likizo kazn hutumia huo muda kusimamia miradi yake. . .
 
hilo nalo linahitaji ushauri?
Simple dukani atafute mtu, akimpata amwambie shosti off......
Kwa kumsaidia shosti wake amlipie kodi ya miezi 6 amwambie aondoke......

asante kwa ushauri, ila isue ya kumpa kodi ya 6month ni ngumu. kumbuka kwa miezi 4 yote Anna ameishi kwa Eva bila kuchangia hta hela ya chumvi. it means ameshasave vya kutosha kuanza maisha!
 

imefika mpaka hapo bado haoni sababu ya kufukuza hiyo balaa!mwambie eva aondoe huyo mtu tena kwa mameno yaliyokausha kama kaukau!akishinndwa wengine huwa kuna nyakati tunanunua kesi kama hizi!na taaluma zetu hizi ah!wala hatupati shida !
 
asante kwa ushauri, ila isue ya kumpa kodi ya 6month ni ngumu. kumbuka kwa miezi 4 yote Anna ameishi kwa Eva bila kuchangia hta hela ya chumvi. it means ameshasave vya kutosha kuanza maisha!

ampe kodi kwani alizokuwa anapewa na mabwana zake alikula na nani?hebu tuache kulea ujinga u dont respect me then ur not my friend.mtu siwezi kumkaribisha nyumbani kwangu ,ale chakula changu.,alalie mashuka yangu.ajisaidie kwenye choo changu,then ashindwe kuheshimu nyumbni kwanguashindwe kumheshimu mama yangu na kuniheshimu mimi!under my roof i am the boss!jamani stress nyingine sio za kuziendekeza.mume tubembeleze. na rafiki asiye na stara pia nibembeleze ,na kodi pia nimlipie ili aondoke!?I BEG TO DIFFER!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…