CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,296
- 12,972
Eva na anna walisoma o-level darsa 1.baadae wakapotezan kwa miaka10.walipokutana tena Eva alikuwa mfanyakaz na pia alikuwa na duka.Anna hakuwa na kazi yoyote bal alikuwa kapangishiwa nyumba na mme wamtu.Haikuchukua muda Anna akagonganisha mabwana na hatimaye akafukuzwa na mme wamtu huyo,aliambulia nguo tu kwan alinyang'anywa kila kitu.Eva alimpokea,wakaish kwa miez4 sasa.tabia ya Anna imebadilika mpk anapeleleka mabwana tofautx2 nyumban kwa Eva,akiwa hayupo.Eva anauliza aanzeje kumfukuza anamkera kwa tabia
https://www.jamiiforums.com/newthread.php?do=newthread&f=62
https://www.jamiiforums.com/newthread.php?do=newthread&f=62