Dr Msweden
JF-Expert Member
- Nov 3, 2020
- 2,629
- 9,530
Inaonekana una maisha magumu umeathirika hadi akili,wewe huoni kuwa kutakuwa na lundo la watu wasiokuwa na ajira ??MLETA mada umechanganya AAR ni kampuni tofautI na AAR HEALTHCARE (T) LTD naona una uelewa mdogo.
AAR ni kampuni ya bima ya afya wakati AAR HEALTHCARE (T) LTD inamiliki hospitali na clinic ni vitu viwili tofauti hiyo inayomiliki hospitali ndio imefilisika na ni kitu kizuri kwa hospitali kufilisika kwa kukosa wagonjwa ina maana watanzania tumekuwa na afya nzuri hadi corona imetupita mbali ni kitu kizuri lazima hospitali itakosa wagonjwa na kufilisika.
Ni sawa na kampuni ukisikia kampuni kubwa sana iliyoajiri watu wengi sana ya kutengeneza majeneza imefilisika kwa kukosa wateja ni kitu cha kumshukuru Mungu.
NIMEFURAHI SANA KUSIKIA HOSPITALI IMEFILISIKA TUWEKEENI NA ZINGINE ZILIZOFILISIKA NI TAARIFA NZURI SANA.
Wewe hauna akili