AAR Healthcare (T) Ltd imetangaza kuuza vifaa vyote vilivyopo kwenye kliniki zake saba Nchini kutokana na kufilisiwa

Inaonekana una maisha magumu umeathirika hadi akili,wewe huoni kuwa kutakuwa na lundo la watu wasiokuwa na ajira ??
Wewe hauna akili
 
Yani Tanzania imefikia hatua hosp zinafilisika!?? Duuuu !!!!!
 
Muoneni na huyu[emoji28][emoji28][emoji28].

Mbona unakosoa kitu ambacho hakipo? Mleta mada kawa clear anaongelea nini, ila ww umetaka kutuonesha kuwa unajua zaidi, matokeo yake umeongelea ambacho hajaongelea.
 
Na mimi nimemjibu kwa mlengo huo kuwa kufilisika hospitali ni kitu kizuri imekosa wateja sababu sasa hivi watanzania afya zetu nzuri tutegee hospitali nyingi zaidi kufilisika kwa kukosa wateja.
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] aisee. Kazi kweli kweli.
 

Hata kampuni ya bima imebadilika kutoka AAR kuwa Assemble insurance
 
Maslahi ya wafanyakazi ndio muhimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…