AAR insurance premier

AAR insurance premier

little angel, unaweza kutumia kumuona dentist but at the same time kuna limitation kwenye sijui mambo ya kusafisha meno kuwa meupe and the rest... kama ungepata policy ingekusaidia zaidi.. ila kama mambo ya kawaida kung'oa na kuziba am sure unaweza
 
<br />
<br />
Hi Prude,thx a lot. mi shida yangu ni kuziba tu jino.
 
ukitoa meno si utaitwa litle litle angel
jazia tu bana uendelee kuwa litle angel pole sana ukifika aar ni pm
 
Back
Top Bottom