Abakwa baada ya kutoka kanisani kusali misa ya Jumatano ya Majivu

Abakwa baada ya kutoka kanisani kusali misa ya Jumatano ya Majivu

Vyombo vya ulinzi na usalama havijawahi kushindwa haswa kwenye kesi kama hizi, watakamatwa tu na case kusikilizwa mpaka hukumu watakuwa jela kama miaka 3 - 4 hivi huko sina shaka na wazee wa Magereza hawana huruma kwa wapuuzi kama hawa. hukumu itatoka wanyongwe mpaka kufa.

Apumzike kwa amani na faraja kwa familia na ndugu zake.
Hadi leo hii hakuna hata mtu mmoja aliyekamatwa baada ya kumfanyia kama hivi marehemu Betty Ndejembi.

Na kwa uwazi, Betty alikuwa akiandika Twitter kuandamwa na watu fulani. Na baadhi yao walikuwa wakimjibu.

Kama unazo taarifa za kukamatwa wahusika wa tukio lile, naomba unijuze.

Ova
 
Back
Top Bottom