Mjina Mrefu
JF-Expert Member
- Dec 6, 2016
- 3,045
- 3,389
Mara paaap mmevamiwa home na majambazi wenye bunduki . Katika kutafuta cha kuiba, wakafanikiwa kupata elfu saba mia nane pamoja na redio ya mkulima.
Kwa hasira majambazi wanaona wametumia nguvu nyingi for nothing, wanakuambia baba mwenye family, chagua moja, mkeo abakwe wewe usalimike au wewe uingiliwe kinyume cha maumbile mbele ya watoto mkeo asalimike au mkatae yote muuwawe wote.
Kama wewe mwanamama au mwanababa ungechagua kipi hapo?