Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji109] [emoji109] [emoji109]Kama wewe ni Wa kiume (maana mwanaume hawezi kopost ujinga huu) wazazi wako wamekula bonge la hasara.
Kama marinda bado yapo, soon yatatuliwa, keep my words
Nani huyo?Hujamaliza kupika unachopika
Ufe kishujaa? Alafu nani aitunze family yako...? Sikiliza vzr nyimbo ya Roma ya ZimbabweOption nzuri ni ww mwanaume kutumia ujasiri pigana afadhali ufe unaipigania família yako. Mimi yamenikuta, nilipambana na wanaume 10 dk 20 Mbona walikimbia wote
Sent using Jamii Forums mobile app