Abakwe mkeo we usalimike or vice versa.. Kipi bora?

Nadharia hizo kudhani kila uwazalo hutokea
Mkuu hii sio nadharia kama inaelewa maana ya law of cause and effect, na pia law of attraction and retribution hiwezi sema hivo

Sent from no where
 
Mkuu hii sio nadharia kama inaelewa maana ya law of cause and effect, na pia law of attraction and retribution hiwezi sema hivo

Sent from no where
Zote Nadharia. Mbona mimi tangu nina miaka 10 nawaza kuwa don mwenye hela na migari mikali mikali but hadi leo nina mvi kichwani bado choka mbaya.

Ingekua kila nikiwazacho hutokea, bas ningekua tajiri mno
 
Haha... Kwamba uzichape na wanyamwezi au
Na mimi.mwenyewe mnyamwezi zaidi maana hawa watu na hamu nao sana kutoa ROHO ZAO.....



Dah inanikumbusha nilipokuwa shule form 6 walikuja bana kuiba eti computer aseeeeeeee mlinzi akapiga filimbi tuuuu vichaa tukatoka class wengine walikuwa wanakoloma aseeeeeee nao walizinduka na pia mwenye uwezo wa kubeba tofali siku hiyo usiku gizani ilikuwa halali yakeee
..walikuja nane ila mmoja ubongo wake ulipasuka wengine mpaka wanaijiwa na POLICE asubui walikuwa viwete aseeeeeeeee.....

Zali la mwaka wetu lilikuja pale OCD Wilaya alipo kuja na FFU wake aseeee siku hiyo fimbo zilinyweka bila maandazi aseeeeeee......coz hakuna mtu aliye kubali kwenda mwenyewe maana kila mtu alisema shule nzima form 5 to form 6 aseeeee hata walokole

tatizo la OCD wilaya kuja pale ni yule jamaa (mwizi)tuliye mtoa ubongo aseeeeeeee ndo tatizo lakini mda wa saa 9 jioni wakaenda ongea na walimu hukooo likaishia huko huko aseeee toka siku hiyo hakuna cha nini wala nini....hata next day hakuna teacher aliye onekana zaidi ya wapishi na walinzi tuuu.



Note SHERIA ZA NCHI ZINASEMA HAKUNA MTU ANAYETOA UHAI WA MWENZIE..sisi tulikosea hapo baada ya kumtoa uhai yule jamaa ..........
 
Haha... Kwamba uzichape na wanyamwezi au
Hapa hakuna hile sijui akikupiga upande mmoja mpe na upande mwingine ...hahaa hizo zama zimeishaa zilikuwa kipindi kile cha yesu na utumwa barani africa aseeee not now sasa ni RUSHA NGUMI NA MIMI NIRUSHE JIWE.
 
Nadhani hapa ulikua obsever tu... Na hiyo shule, itakua either ni kibiti, Lyamungo au umbwe ndo walikua wababe ivyo
 
Hapa hakuna hile sijui akikupiga upande mmoja mpe na upande mwingine ...hahaa hizo zama zimeishaa zilikuwa kipindi kile cha yesu na utumwa barani africa aseeee not now sasa ni RUSHA NGUMI NA MIMI NIRUSHE JIWE.
Unavyozungumza, unadhani ni rahisi

Yaani unaichukulia iyo situation upo ktkt ya wanyamwezi na kuilinganisha n movies za action unazotizama... Utakujafanywa kitu mbaya...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…