Abbas Mtemvu awa Mwenyekiti mpya wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam

uyu mzee namkumbuka kama ni babake na bibi bomba (yule miss alijifanya hajazalia home kumbe....), na mzee huyu alifanya sana uwakala wa kubeba housegirls toka tz kupeleka uarabuni. ile ilikuwa human trafficking kabisa.
 
Juma Simba a.k.a Ghadaffi Katibu Mwenezi wa CCM mkoa wa Dar es Salaam akizungumza kwenye semina.




SEMINA YA MAKATIBU WAENEZI 90 WA CCM MKOA DAR ES SALAAM
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mkoa wa Dar es Salaam, Ramadhani Madabida (katikati), akizungumza na makatibu waenezi 90 wa CCM wakati akifungua semina elekezi ya siku moja kwa makatibu hao kutoka Kata mbalimbali za mkoa wa Dar es Salaam leo. Kushoto ni Katibu Muenezi wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam, Juma Simba na Katibu Muenezi Msaidizi wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam, Athuman Salum



22 August 2015

JUMA SIMBA KAMPENI ZA 2015 - VIWANJA VYA JANGWANI NI NYUMBANI

Katibu Mwenezi wa mkoa wa Dar Ndg.Juma Simba akiwakaribisha rasmi wanachama kwenye mkutano utakaofanyika katika viwanja vya Jangwani hapo kesho. Mgombea wa CCM nafasi ya urais, Ndg. John Pombe Joseph Magufuli kukabidhiwa rasmi ilani ya uchaguzi mkuu 2015
 
uyu mzee namkumbuka kama ni babake na bibi bomba (yule miss alijifanya hajazalia home kumbe....), na mzee huyu alifanya sana uwakala wa kubeba housegirls toka tz kupeleka uarabuni. ile ilikuwa human trafficking kabisa.
Mmeanza.....!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…