Abbas Mtemvu awa Mwenyekiti mpya wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam

Abbas Mtemvu awa Mwenyekiti mpya wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam

21 November 2022

JUMUIYA YA WAZAZI CCM YAPINGA MAOVU YOTE KATIKA JAMII

Kauli mbiu ya uchaguzi wa Jumuiya ya wazazi kwa mwaka huu 2022 inasema wazazi ni chimbuko la malezi bora katika jamii
 
uyu mzee namkumbuka kama ni babake na bibi bomba (yule miss alijifanya hajazalia home kumbe....), na mzee huyu alifanya sana uwakala wa kubeba housegirls toka tz kupeleka uarabuni. ile ilikuwa human trafficking kabisa.
Mpaka Sasa anafanya
 
Mpaka Sasa anafanya
ni human trafficking, kwasababu wasichana wakifika kule huwa wananyang'anywa passport na wanatumikishwa kama wanyama. watz hawaongei ila wakenya wanaongea na wametoa video nyingi waarabu wanawafanya mbaya sana, wanawafananisha na wanyama pori kabisa.
 
Back
Top Bottom