Uchaguzi 2020 Abbas Tarimba achukua fomu ya kuomba ubunge Kinondoni, Usaliti wa Mtulia wafika ukingoni

Uchaguzi 2020 Abbas Tarimba achukua fomu ya kuomba ubunge Kinondoni, Usaliti wa Mtulia wafika ukingoni

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
‪SIASA_ Aliyekuwa Diwani wa Hananasif, Abbas Tarimba amechukua fomu ya kuwania U ( 479 X 640 ).jpg

=======
Abbas Tarimba ambaye alikuwa Diwani wa Kata ya Ananasif, amechukua fomu za kuomba kuteuliwa na Chama cha Mapinduzi (CCM) kugombea Ubunge katika Jimbo la Kinondoni.
 
ITABIDI UMFUATILIE UKO UKO AKIWA BUNGENI
Haki ya nani umenichekesha sana aiseee 😆😁 kwamba akiwa yupo anatoa hoja naletwa mbele pale nashikiria bango nae tunashikana mikono ya hongera harafu huyoo naondoka zangu yeye anaendelea alipoishia 🤦😂🤣
 
Back
Top Bottom