Mkalukungone Mwamba JF-Expert Member Joined Aug 29, 2022 Posts 3,141 Reaction score 7,205 Mar 15, 2025 #1 Mbunge wa Jimbo la Kinondoni Mhe. Abbas Tarimba ameshiriki hafla ya kugawa vitu mbalimbali kwa ajili ya futari kwa Wananchi waliofunga mwezi huu wa Ramadhan na Kwarezima iliyoandaliwa na Diwani wa Kata ya Mzimuni Mhe. Manfred Lyoto. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 Mhe. Tarimba amesema Diwani Lyoto ni moja kati ya viongozi wachapakazi na wenye upendo mkubwa kwa Wananchi na anatakiwa kupewa ushirikiano Mkubwa.
Mbunge wa Jimbo la Kinondoni Mhe. Abbas Tarimba ameshiriki hafla ya kugawa vitu mbalimbali kwa ajili ya futari kwa Wananchi waliofunga mwezi huu wa Ramadhan na Kwarezima iliyoandaliwa na Diwani wa Kata ya Mzimuni Mhe. Manfred Lyoto. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 Mhe. Tarimba amesema Diwani Lyoto ni moja kati ya viongozi wachapakazi na wenye upendo mkubwa kwa Wananchi na anatakiwa kupewa ushirikiano Mkubwa.
Mtemi mpambalioto JF-Expert Member Joined Aug 23, 2015 Posts 4,006 Reaction score 9,542 Mar 15, 2025 #2 uchaguzi umekaribia! Ujinga ujinga tu tunasahau shida kwa siku moja kila miaka 5
Erythrocyte JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 143,138 Reaction score 288,731 Mar 15, 2025 #3 Futari za kampeni hizo
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,428 Reaction score 197,153 Mar 16, 2025 #4 Ahsante kwa taarifa... Cc: Mahondaw