Astakafilu babu mwenyewe pesa yake yote inaishia kwenye K vant.Mimi Nina relationship na pesa ya babu
Naijua sura ya Dunia but kisogo chake badoooo saaaanaKila chenye sura hakikosi kisogo, tia hiyo akilini Sky Eclat
Hahahaaaaa
Babu Ashkirimu hebu kuja uchungulie statasi za bibi kama zina ara ai pii.
Amina tena awazidishie mapenzi wapendane kama mpini na jembe.Mungu awajalie ndoa njema wao na familia yao
Tena ndoa takatifu ya kikatoliki
Tena ndoa takatifu ya kikatoliki