Abbreviation RIP kumbe inamaana nyingi

Abbreviation RIP kumbe inamaana nyingi

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
UJINGA NI NINI?

Ujinga ni pale ambapo demu wako anaweka picha ya mchepuko wake kwenye profile halafu status anaandika R.I.P wewe unaanza kumpa pole ukijua ni(REST IN PEACE-PUMZIKA KWA AMANI) amefiwa wakati mwenzio anamaanisha RELATIONSHIP IN PROGRESS(yaani mapenzi au mahusiano yetu yaendelee/motomoto au yananoga)

Wanawake nyieeeeeeeee Mungu anawaona mnavyowafanyia watoto wa wanawake wenzenu na hamuendi mbinguni.
😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Hahahaaaaa
Babu Ashkirimu hebu kuja uchungulie statasi za bibi kama zina ara ai pii.
 
Hata huyo atakayekubali kuandikiwa RIP na akakaa kimya huo ni umama...

Mtu anaua ndege kumi kwa jiwe moja!
 
Back
Top Bottom