Muuza Sura
JF-Expert Member
- Aug 1, 2011
- 1,985
- 1,352
Pia DJ mwanga nayo n nzuri kupakua ngoma tena bila tangazo karibu napo mkuuanha nimekuelewa...nami ntaanza kuitumia.
....nimekuelewa kupita maelezo!..,japo Kiba hajaimba vibaya!King Kiba ana jina kubwa sasa, aache kushiriki hivi vikolabo vya kijinga jinga.. Nyimbo mbaya kupita maelezo!! Inamshushia hadhi yake..
Beat na melody za kizamani walizo kuwa wananyonga akina Shirko mwaka 2007, yeye Abby daddy ndio anajifunza leo kutengeneza!
Iyo ngoma ni week tu kapuniAbby skills hajawahi kuwa msanii mkali ila ana bahati ya kupigiwa chorus za hatari na siku zote kiba na byser ndo wanambebaga hata ujio huu nahisi ni ushawishi wao. .ila trust me hii ngoma itabamba kwani kuna ladha watu waliimiss kutoka kwake
hata mimi niligundua hilo...ila nilikuwanajiuliza beat kama hii nilishawahi kuickia wapi?kwaza beat wame paste @ nitampata wapi by diamond platnumz. Isikilize vizuri mwanzoni inavyoanza na mdundo wake utalewa nikizungumzacho.
je utanipendakwaza beat wame paste @ nitampata wapi by diamond platnumz. Isikilize vizuri mwanzoni inavyoanza na mdundo wake utalewa nikizungumzacho.
yap yap mkuu...asante kwa kunisahihishaje utanipenda
Hii kitu nimeisikia pia ila ni beat ya je utanipendaga by Domo.kwaza beat wame paste @ nitampata wapi by diamond platnumz. Isikilize vizuri mwanzoni inavyoanza na mdundo wake utalewa nikizungumzacho.
kiumkweli mkuu nimeshangaa sana wasanii wakubwa kama hawa kufanya kitu kama hiki. Kwani hawakuona kama beat zinafanana au walifanya maksudi tu?Hii kitu nimeisikia pia ila ni beat ya je utanipendaga by Domo.
Bahati mbaya hakuna kitufe cha likes kumi kumi! Chukua likes kama 100 hivi Mkuu.. Umeongea point ya msingi sana maana hata huyu abby skillz nimemuona mwaka huu alicharuka kupanda upande wa pili ule na kiba bila hiyana akamtunuku collaboKiba HAWEZI KUKATAA KOLABO NA HAO WASANII,KWASABABU KWANZA WANACHOKIFANYA HAO WAOMBA KOLABO NI KUJIFANYA WANAMPONDA YULE WA UPANDE WA PILI HALAFU WANAMSIFIA YEYE NA KIBA AKISHAONA HIVO NDIO ANAPENDA.
Hapana sio yangu ila naonaga urahisi wakupakua tofauti na mkito ambao nyimbo nyingi zina matangazo
Sasa sababu ni ipi mpaka nianze kulipia akati blog NY engine unadownlod bure bila matangazoNyimbo za bure ndio zenye matangazo....toa hela uone kama inamatangazo mkuu
Vya bure gharamaSasa sababu ni ipi mpaka nianze kulipia akati blog NY engine unadownlod bure bila matangazo
KIKI mkuu!kiumkweli mkuu nimeshangaa sana wasanii wakubwa kama hawa kufanya kitu kama hiki. Kwani hawakuona kama beat zinafanana au walifanya maksudi tu?
Huyu ndo kazingua ile nyimbo alirecod 2008 amekuja kutoa leo yani niaibu tuBora hata ngoma ya sam wa ukweli