Abby Skillz sijui kama utaweza kurudi kwa uimbaji huu

Abby Skillz sijui kama utaweza kurudi kwa uimbaji huu

Abby skills hajawahi kuwa msanii mkali ila ana bahati ya kupigiwa chorus za hatari na siku zote kiba na byser ndo wanambebaga hata ujio huu nahisi ni ushawishi wao. .ila trust me hii ngoma itabamba kwani kuna ladha watu waliimiss kutoka kwake
 
King Kiba ana jina kubwa sasa, aache kushiriki hivi vikolabo vya kijinga jinga.. Nyimbo mbaya kupita maelezo!! Inamshushia hadhi yake..

Beat na melody za kizamani walizo kuwa wananyonga akina Shirko mwaka 2007, yeye Abby daddy ndio anajifunza leo kutengeneza!
....nimekuelewa kupita maelezo!..,japo Kiba hajaimba vibaya!
 
Abby skills hajawahi kuwa msanii mkali ila ana bahati ya kupigiwa chorus za hatari na siku zote kiba na byser ndo wanambebaga hata ujio huu nahisi ni ushawishi wao. .ila trust me hii ngoma itabamba kwani kuna ladha watu waliimiss kutoka kwake
Iyo ngoma ni week tu kapuni
 
kwaza beat wame paste @ nitampata wapi by diamond platnumz. Isikilize vizuri mwanzoni inavyoanza na mdundo wake utalewa nikizungumzacho.
 
kwaza beat wame paste @ nitampata wapi by diamond platnumz. Isikilize vizuri mwanzoni inavyoanza na mdundo wake utalewa nikizungumzacho.
hata mimi niligundua hilo...ila nilikuwanajiuliza beat kama hii nilishawahi kuickia wapi?
 
Bora nisikize wimbo wa mikono juu wa wale watoto Motocombat

Watoto wimbo unajiuza wenyewe bila mapromo
 
kwaza beat wame paste @ nitampata wapi by diamond platnumz. Isikilize vizuri mwanzoni inavyoanza na mdundo wake utalewa nikizungumzacho.
Hii kitu nimeisikia pia ila ni beat ya je utanipendaga by Domo.
 
Hii kitu nimeisikia pia ila ni beat ya je utanipendaga by Domo.
kiumkweli mkuu nimeshangaa sana wasanii wakubwa kama hawa kufanya kitu kama hiki. Kwani hawakuona kama beat zinafanana au walifanya maksudi tu?
 
Kiba HAWEZI KUKATAA KOLABO NA HAO WASANII,KWASABABU KWANZA WANACHOKIFANYA HAO WAOMBA KOLABO NI KUJIFANYA WANAMPONDA YULE WA UPANDE WA PILI HALAFU WANAMSIFIA YEYE NA KIBA AKISHAONA HIVO NDIO ANAPENDA.
Bahati mbaya hakuna kitufe cha likes kumi kumi! Chukua likes kama 100 hivi Mkuu.. Umeongea point ya msingi sana maana hata huyu abby skillz nimemuona mwaka huu alicharuka kupanda upande wa pili ule na kiba bila hiyana akamtunuku collabo
 
ubishi wa kijinga kama muda umeisha umisha tu, shida ni uvivu wa kujiongeza, wanakomalia hapo hapo kwenye mziki wakati wameshachoka watafute kazi zingine za kufanya
 
Nyimbo za bure ndio zenye matangazo....toa hela uone kama inamatangazo mkuu
Sasa sababu ni ipi mpaka nianze kulipia akati blog NY engine unadownlod bure bila matangazo
 
Halafu hilo jiti la Kiba ndiyo ubunifu au ndo kaishiwa swag? Mana naona siku hizi kakazana nali.
 
Back
Top Bottom