Na Mwanya wake utafikiri geti la Bungeni.
Mkuu hiyo inamaanisha kuwa watu wapo aware na kila kitu hapa nchini!
Na Mwanya wake utafikiri geti la Bungeni.
Mkuu mbona hana mwanya?
Yuko Dar ameolewa ana watoto wawili sasa, zile fujo za big brother zilikuwa nyege tu, sasa ni mke mwema na mama bora wa familia. Anapatikana kwa jina la Abby Plaatjes, mfuate huko mkuu.
Hata mimi baada ya kusikia ile kauli ilibidi niingie kuona picha zake coz ni muda mrefu nikahisi huenda yule muitaliano aling'oa meno
Muitaliano anaitwa Samanta,ndiye mmiliki wa m,telano na Run way club iliyopo maeneo ya shopaz plaza msasani.
Hata Abby alifanya kazi EATV kwa muda mfupi akajisepesha mazimaAmeingia chaka akamfananisha na yule aliyemzaba mwenzake kibao akatilewa BBA, Lotus
Hata Abby alifanya kazi EATV kwa muda mfupi kipindi hicho hicho cha nirvana tena kabla ya lotus na Deo ila alijisepesha mazimaAmeingia chaka akamfananisha na yule aliyemzaba mwenzake kibao akatilewa BBA, Lotus
Ila Abby ni anavutia!
Huyo jamaa yeye simfahamu!
ni mweusi tiiiii ama?
Na Mwanya wake utafikiri geti la Bungeni.