Abby wa Nirvana

Abby wa Nirvana

Na Mwanya wake utafikiri geti la Bungeni.

unamchanganya (Abby )Abby Plaatjes na Lotus Lyamba, Abby hana mwanya
attachment.php
306122_10150913848434511_615978192_n.jpg
 
Hata mimi baada ya kusikia ile kauli ilibidi niingie kuona picha zake coz ni muda mrefu nikahisi huenda yule muitaliano aling'oa meno
 
mbona jamaa wake ni black na ni rasta....nilikutananao mliman city???.....
 
Yuko Dar ameolewa ana watoto wawili sasa, zile fujo za big brother zilikuwa nyege tu, sasa ni mke mwema na mama bora wa familia. Anapatikana kwa jina la Abby Plaatjes, mfuate huko mkuu.

Walishaachana na yule baharia mmiliki wa Mediterrano kule kawe, sasa yupo choice fm anatangaza
 
Hata mimi baada ya kusikia ile kauli ilibidi niingie kuona picha zake coz ni muda mrefu nikahisi huenda yule muitaliano aling'oa meno

Muitaliano anaitwa Samanta,ndiye mmiliki wa m,telano na Run way club iliyopo maeneo ya shopaz plaza msasani.
 
Ameingia chaka akamfananisha na yule aliyemzaba mwenzake kibao akatilewa BBA, Lotus
Hata Abby alifanya kazi EATV kwa muda mfupi kipindi hicho hicho cha nirvana tena kabla ya lotus na Deo ila alijisepesha mazima
 
Back
Top Bottom