ABC'z kuhusu cyber forensic

ABC'z kuhusu cyber forensic

Bossprota

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2015
Posts
336
Reaction score
373
Samahani Wakubwa Nahitaji Kujua Maeneo Unayoweza Kwenda Kuomba Kazi Au Kuaply Maombi Kwa Mtu Aliesomea Masuala Ya Cyber Forensic Kwa hapa.

Tanzania Maana Nimejaribu Kuuliza Wengi Walioko Kwenye Hii Fani Hawanipi Maelezo Ya Kutosha Mfano Nimeuliza Baadhi Ya Wapelelezi.

Inaonyesha Hawajui Chochote Nimeuliza Baadhi ya Watu Ndani ya Jeshi La Polisi Nao Hakuna Nilipopata Majibu Nahitaji Msaada Wenu Watu Wa IT
 
Nafkiri unachanganya hakuna Cyber forensic bali kuna Cyber security ambayo ukianza kuichambua ndo utakutana forensic,ethical hacking na mambo kadha wa kadha.

Aidha kibongo iyo field ni ngum sana mpaka upate kampuni hasa Mabenki na taasisi za usalama..pia Polisi unaweza kuajiriwa kitengo cha Cyber crime lakini kwa bongo sharti uwe na aidha bachelor au diplom in Computer scirnce au IT au C.engineer n.k

Nawasilisha
 
Nafkiri unachanganya hakuna Cyber forensic bali kuna Cyber security ambayo ukianza kuichambua ndo utakutana forensic,ethical hacking na mambo kadha wa kadha....Aidha kibongo iyo field ni ngum sana mpaka upate kampuni hasa Mabenki na taasisi za usalama..pia Polisi unaweza kuajiriwa kitengo cha Cyber crime lakini kwa bongo sharti uwe na aidha bachelor au diplom in Computer scirnce au IT au C.engineer n.k

Nawasilisha
Ahsante mkuu
 
Dawa ni kuharibia mfumo afu unakaa unatulia unawaomba kazi
 
hivi huko chuoni huwa mnafundishwaje mkuu mpaka ushindwe kujua utaapply wapi kazi
 
Back
Top Bottom