Ahsante mkuuNafkiri unachanganya hakuna Cyber forensic bali kuna Cyber security ambayo ukianza kuichambua ndo utakutana forensic,ethical hacking na mambo kadha wa kadha....Aidha kibongo iyo field ni ngum sana mpaka upate kampuni hasa Mabenki na taasisi za usalama..pia Polisi unaweza kuajiriwa kitengo cha Cyber crime lakini kwa bongo sharti uwe na aidha bachelor au diplom in Computer scirnce au IT au C.engineer n.k
Nawasilisha
Dawa ni kuharibia mfumo afu unakaa unatulia unawaomba kaziNafkiri unachanganya hakuna Cyber forensic bali kuna Cyber security ambayo ukianza kuichambua ndo utakutana forensic,ethical hacking na mambo kadha wa kadha....Aidha kibongo iyo field ni ngum sana mpaka upate kampuni hasa Mabenki na taasisi za usalama..pia Polisi unaweza kuajiriwa kitengo cha Cyber crime lakini kwa bongo sharti uwe na aidha bachelor au diplom in Computer scirnce au IT au C.engineer n.k
Nawasilisha
crear=clear✓[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Short and crear