Abd Al Kareem Qassim ataka yeshe, Israel muwe na ubinadamu basi. Deputy Commander wa Quads auawa

Sodoku

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2016
Posts
1,271
Reaction score
2,903
Nina wasi wasi hata wale mateka wa Kiisrael walitekwa kimtego ili Israel ipate sababu ya kufanya haya. Hezbollah kwa sasa wanataka amani. Wayahudi wabishi. Why jamani? Msifanye hivyo. Acheni amani itawale.

Viongozi wa Hezzbollha,Hamas and the likes hawataki kupandishwa vyeo kwa sasa. Hawataki kuchukua nafasi zile kubwa kubwa. Wanasema nafasi walizo nazo zinatosha.
Screenshot_2024-10-09-05-54-29-102_com.twitter.android~3.jpg
Screenshot_2024-10-09-06-13-44-147_com.twitter.android~2.jpg
Screenshot_2024-10-09-05-54-29-102_com.twitter.android~2.jpg
Screenshot_2024-10-09-06-15-31-556_com.twitter.android~2.jpg
 
Nina wasi wasi hata wale mateka wa Kiisrael walitekwa kimtego ili Israel ipate sababu ya kufanya haya. Hezbollah kwa sasa wanataka amani. Wayahudi wabishi. Why jamani? Msifanye hivyo. Acheni amani itawale.

Viongozi wa Hezzbollha,Hamas and the likes hawataki kupandishwa vyeo kwa sasa. Hawataki kuchukua nafasi zile kubwa kubwa. Wanasema nafasi walizo nazo zinatosha.
View attachment 3119537View attachment 3119538View attachment 3119539View attachment 3119540
Mapema mno. Inasemekana Hezbollah ni jeshi kubwa na imara sana, ndiyo maana walikuwa kila wakati wanaanzisha mashambulizi.
Kuomba pooh sasa hivi inaweza ikawa na ujanja tu, kwa sasa wangeendelea kuvutavuta hadi baada ya miezi angalau nane ndiyo waombe ceasefire pia wana mashabiki wengi wanawatarajie wafanye makubwa, siyo vizuri kuwanyong'onyeza mashabiki wai
 
Kakwambia nani Hezbollah wanataka amani? Watu kila siku wanarusha maroketi kuelekea Israel, sasa Israel acha amalize icho kiporo kwanza
 
Nina wasi wasi hata wale mateka wa Kiisrael walitekwa kimtego ili Israel ipate sababu ya kufanya haya. Hezbollah kwa sasa wanataka amani. Wayahudi wabishi. Why jamani? Msifanye hivyo. Acheni amani itawale.

Viongozi wa Hezzbollha,Hamas and the likes hawataki kupandishwa vyeo kwa sasa. Hawataki kuchukua nafasi zile kubwa kubwa. Wanasema nafasi walizo nazo zinatosha.
View attachment 3119537View attachment 3119538View attachment 3119539View attachment 3119540
9

Israel katembeza kipigo hadi Hezbollah wamekumbuka kuna azimio la UN liliwataka waondoke karibu na mpaka wa Israel. Wamesema wako tayari kutekeleza sharti hili bila masharti ili vita iishe. Israel isiingie kwenye huu mtego, isafishe eneo lote la kusini mwa Lebanon ili amani iwepo kwa miongo kadhaa.
 
Nina wasi wasi hata wale mateka wa Kiisrael walitekwa kimtego ili Israel ipate sababu ya kufanya haya. Hezbollah kwa sasa wanataka amani. Wayahudi wabishi. Why jamani? Msifanye hivyo. Acheni amani itawale.

Viongozi wa Hezzbollha,Hamas and the likes hawataki kupandishwa vyeo kwa sasa. Hawataki kuchukua nafasi zile kubwa kubwa. Wanasema nafasi walizo nazo zinatosha.
View attachment 3119537View attachment 3119538View attachment 3119539View attachment 3119540
Myahudi leo marekani ikianguka utamuonea huruma Myahudi, silaha zote za dunia nzima amepewa yeye lkn bado anakimbilia Marekani ya UK na NATO
 
Mapema mno. Inasemekana Hezbollah ni jeshi kubwa na imara sana, ndiyo maana walikuwa kila wakati wanaanzisha mashambulizi.
Kuomba pooh sasa hivi inaweza ikawa na ujanja tu, kwa sasa wangeendelea kuvutavuta hadi baada ya miezi angalau nane ndiyo waombe ceasefire pia wana mashabiki wengi wanawatarajie wafanye makubwa, siyo vizuri kuwanyong'onyeza mashabiki wai
Yes, administration ya Hezibolah imekufa, mpaka sasa jeshi halina mawasiliano, wanaomba vita usimame ili wajipange vizuri kwa kupata sapoti ya Iran , Israel hawezi kukubali , amesema azima yake ni kuifanya Lebanoni ya kusaini kama Gaza , wameanzisha vita halafu wanaomba c vita uishe kweli!
 
Jehova kafufuka wanaaanza kulejea kupitia wafilistin sio tena Iran wamesubilia tehran iwake motondiowaje lkn wapi kulejea kwao talatibu ni ishala wamechoka kubet date y kipigo!! Yahudi anaemwambawake apo apo mid est so tuendelee na vita anavyoweza vya sungusungu na m'gambo Iran mkubwa mno kwake.😂😂😂
 
Mapema mno. Inasemekana Hezbollah ni jeshi kubwa na imara sana, ndiyo maana walikuwa kila wakati wanaanzisha mashambulizi.
Kuomba pooh sasa hivi inaweza ikawa na ujanja tu, kwa sasa wangeendelea kuvutavuta hadi baada ya miezi angalau nane ndiyo waombe ceasefire pia wana mashabiki wengi wanawatarajie wafanye makubwa, siyo vizuri kuwanyong'onyeza mashabiki wai
Mashabiki weusi tiiii halafu nao wana rafudhi ya kiarabu hahaha! Eti munyazi Mungu...wanavaa na kobaz utazani wako warabuni kwenye joto Kali....yanaiga ujinga tu bila kuelewa kisa mwarabu kafanya
 
Nina wasi wasi hata wale mateka wa Kiisrael walitekwa kimtego ili Israel ipate sababu ya kufanya haya. Hezbollah kwa sasa wanataka amani. Wayahudi wabishi. Why jamani? Msifanye hivyo. Acheni amani itawale.

Viongozi wa Hezzbollha,Hamas and the likes hawataki kupandishwa vyeo kwa sasa. Hawataki kuchukua nafasi zile kubwa kubwa. Wanasema nafasi walizo nazo zinatosha.
View attachment 3119537View attachment 3119538View attachment 3119539View attachment 3119540
Nani hapendi kuishi?
 
Hahahah hakuna kucease fire hapa, Isarael pelekea fire hao magaidi fyeka wote dunia iwe na amani
 
Back
Top Bottom