Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
I salute you kinsmen.
TFF wamekuwa wakituvunja moyo kila siku linapokuja swala la team yetu ya taifa.
Kwanza wanatuletea makocha wabovu na wa hovyo sana nadhani kuna maswala ya 10% mule ndani .
KAMA NI KIGEZO CHA UWEZO WAKE.
Kumpa team huyu moroco tangu mwanzo watu tulisema huyu ana uwezo mdogo sana sana
Hakuwahi hata kuchukua kombe la mbuzi mtaani,
Amefundisha mid table team kama namungo na geita na gaita wakashuka huku namungo wao walinusurikaga kushuka wakati alipokuwa kocha.
KAMA NI ISSUE YA UZAWA/UTAIFA.
Basi kocha wa mashujaa fc Abdalah Bares alifaa zaidi. Kwa mnaofuatilia mtaona namna alipoitoa mashujaa kutoka msimu uliopita aliposhika team iliyokuwa hovyo na sasa jinsi alivyoisuka.
Anachokosa zaidi ni vipe bajeti yao mashujaa ni ndogo basi lakini huyu alifaa zaidi kuliko yule mpemba na juma bonge wake.
Bares ni technician na game changer zaidi huyu apewe team aijenge.
KWA KIGEZO CHA WACHEZAJI/SELECTION..
Moroco amekuwa akionesha wazi udhaifu wake na uwezo wake mdogo wa kuusoma mchezo
Sub zake ni za hovyo na haeleweki anataka nini, nadhani anategemea zaidi bahati tu kuliko mbinu zake .
Mfano mzuri angalia wenzetu Congo wao kocha wao alituliza pressure dakika ya 1 to 75 hivi.
Then akawaingiza Mayele na Elia, dakika chache tu bang chuma mbili na game ikaishia hapo.
Wakati sisi huku anatolia mudathir anaingia Mao ,then mwaikenda anatoka anaingia Mwamnyeto kwaajili ya kutengeneza back 3..! Mfumo wa kipumbavu kabisa kwa kweli na bado unatafuta goli..
Bares asingeweza kufanya ujinga wa juzi kama ule ..