Abdallah Bulembo: Nipo Dodoma napumzika, nimestaafu sina presha

Mkogoti

TAPELI Mkubwa
Joined
May 3, 2020
Posts
2,415
Reaction score
3,927
NIPO DODOMA NAPUMZIKA, NIMESTAAFU SINA PRESHA- BULEMBO​

"Nimejifunza vitu vingi tangu nimeteuliwa na Rais, dhamira yangu hasa ninapoelekea kwenye kustaafu nasema wenzetu wanaoendelea kutafuta majimbo wanaendelea kugombea juzi Rais alivyosema kwaherini kila mtu ameshakwenda kwenye majimbo yao bado nipo Dodoma napumzika, niko kwenye kustaafu sina presha sina haraka ya kwenda popote.

"Sio kwamba sitaki kugombea, hata nikigombea nitashinda ila sitaki, nataka niondoke salama, mtoto wangu (Halima) yupo kwenye jimbo mke wangu naye yupo kwenye jimbo anagombe Viti Maalum, haiwezekani nyumba yote wote kuwa wabunge haileti picha nzuri.

1592475681606.png
 
Mna maneno makali mngekuwa mnaonana haki ya nani! Ngumi zingekunjwa
 
Naona kajikataa mapema 😁 anaona soo kurudi atawangaliaje usoni
 
Bintiye ataulamba unaibu waziri na analijua Hilo. Anajua pia hawezi kuteuliwa Ubunge tena na Rais. Najiuliza hivi ikitokea akaaminiwa na kuteuliwa kurudi Bungeni, atamwambia Rais nimestaafu siasa na sitaki tena uteuzi?
 
NIPO DODOMA NAPUMZIKA, NIMESTAAFU SINA PRESHA- BULEMBO​

"Nimejifunza vitu vingi tangu nimeteuliwa na Rais, dhamira yangu hasa ninapoelekea kwenye kustaafu nasema wenzetu wanaoendelea kutafuta majimbo wanaendelea kugombea juzi Rais alivyosema kwaherini kila mtu ameshakwenda kwenye majimbo yao bado nipo Dodoma napumzika, niko kwenye kustaafu sina presha sina haraka ya kwenda popote.

"Sio kwamba sitaki kugombea, hata nikigombea nitashinda ila sitaki, nataka niondoke salama, mtoto wangu (Halima) yupo kwenye jimbo mke wangu naye yupo kwenye jimbo anagombe Viti Maalum, haiwezekani nyumba yote wote kuwa wabunge haileti picha nzuri.

Alikuwa anabebwa sana na Kayafa sasa tutaona
 
Kagombee uone machungu ya ubunge siyo huo wa kubebwa kaka yangu.
 
Bintiye ataulamba unaibu waziri na analijua Hilo. Anajua pia hawezi kuteuliwa Ubunge tena na Rais. Najiuliza hivi ikitokea akaaminiwa na kuteuliwa kurudi Bungeni, atamwambia Rais nimestaafu siasa na sitaki tena uteuzi?
Kitendo cha kuachia papuchi kwa ZZK naona Kayafa akamuona atamsaliti. Na kalivyo karembo ukute nae alitamani maana alikuwa yumo
 
Back
Top Bottom