Abdallah Kibadeni wa Simba alikuwa mfungaji bora Klabu bingwa Afrika 1974, aliifikisha nusu fainali

Abdallah Kibadeni wa Simba alikuwa mfungaji bora Klabu bingwa Afrika 1974, aliifikisha nusu fainali

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2013
Posts
38,920
Reaction score
44,970
Jedwali hilo la chini linaonyesha wafungaji bora wa kombe la klabu bingwa Afrika mwaka 1974, Abdallah Kibadeni wa Simba SC alikuwa miongone mwa wafungaji bora.

Na ndiye alikuwa mchezaji pekee asiye na asili ya kiarabu kuingia kwenye orodha hiyo.

15AF91D8-5BEC-4444-84FF-13EC8E860F03.jpeg
 
Umesahau na Takwimu hii pia Mwaka 1941 Sunderland ( Simba) ilichukua kombe la afrika kwa nchi zilizokuwa chini ya utawala wa kikoloni. kombe hili lina hadhi sawa na klabu bingwa Afrika ya sasa
Sawa, ila hapa tunazungumzia Klabu bingwa Afrika ambayo ndio hadi leo bado ipo na inaendelea, au bado kuna kombe la wakoloni?
 
Jedwali hilo la chini linaonyesha wafungaji bora wa kombe la klabu bingwa Afrika mwaka 1974, Abdallah Kibadeni wa Simba SC alikuwa miongone mwa wafungaji bora.

Na ndiye alikuwa mchezaji pekee asiye na asili ya kiarabu kuingia kwenye orodha hiyo.

View attachment 2607872
Ukisoma heading, unaweza dhani yeye ndo alifunga hizo goli 10..!!!
 
Dah watanzania ni wajinga sana,mko busy bishana na kushindana yanga na simba tu,mwezi mzima

Acha ccm iwaibie na kuwatawala
 
Sawa, ila hapa tunazungumzia Klabu bingwa Afrika ambayo ndio hadi leo bado ipo na inaendelea, au bado kuna kombe la wakoloni?
Kweli mmekufa kiume, naona mnaokoteza rekodi ambazo zilitukia kabla hujazaliwa🤣🤣🤣
 
Hadi wanafukua makaburi ya kale[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
wanatia aibu sana
yani kweli wanasemaga Tff ni simba
naona wachambuzi wote simba
kweli utopwinyo tunawalaza na viatu [emoji2][emoji2][emoji2] ivi tukichukua ubingwa si watakufa
 
Back
Top Bottom