FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Sawa, ila hapa tunazungumzia Klabu bingwa Afrika ambayo ndio hadi leo bado ipo na inaendelea, au bado kuna kombe la wakoloni?Umesahau na Takwimu hii pia Mwaka 1941 Sunderland ( Simba) ilichukua kombe la afrika kwa nchi zilizokuwa chini ya utawala wa kikoloni. kombe hili lina hadhi sawa na klabu bingwa Afrika ya sasa
Wenye akili ni wawili tu pande hizo😀😀🤣Wikipedia unaweza edit na kuweka taarifa utakayo. Tumieni data kutoka caf wenyewe.
Wazee wa historia.Jedwali hilo la chini linaonyesha wafungaji bora wa kombe la klabu bingwa Afrika mwaka 1974, Abdallah Kibadeni wa Simba SC alikuwa miongone mwa wafungaji bora.
Na ndiye alikuwa mchezaji pekee asiye na asili ya kiarabu kuingia kwenye orodha hiyo.
View attachment 2607872
Ukisoma heading, unaweza dhani yeye ndo alifunga hizo goli 10..!!!Jedwali hilo la chini linaonyesha wafungaji bora wa kombe la klabu bingwa Afrika mwaka 1974, Abdallah Kibadeni wa Simba SC alikuwa miongone mwa wafungaji bora.
Na ndiye alikuwa mchezaji pekee asiye na asili ya kiarabu kuingia kwenye orodha hiyo.
View attachment 2607872
Hili ni jukwaa la michezo, watu lazima tuburudike bhanaDah watanzania ni wajinga sana,mko busy bishana na kushindana yanga na simba tu,mwezi mzima
Acha ccm iwaibie na kuwatawala
Kweli mmekufa kiume, naona mnaokoteza rekodi ambazo zilitukia kabla hujazaliwa🤣🤣🤣Sawa, ila hapa tunazungumzia Klabu bingwa Afrika ambayo ndio hadi leo bado ipo na inaendelea, au bado kuna kombe la wakoloni?
Rekodi ni rekodi.na rekodi huwa haifutwi bali inavunjwa.kwahiyo mkitaka hii ya simba isisikike ivunjeni.Kweli mmekufa kiume, naona mnaokoteza rekodi ambazo zilitukia kabla hujazaliwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Jipeni moyo anawaita😂😂Rekodi ni rekodi.na rekodi huwa haifutwi bali inavunjwa.kwahiyo mkitaka hii ya simba isisikike ivunjeni.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Hadi wanafukua makaburi ya kale🤣🤣🤣Yani nusu fainali tu inaibua mengi hivi??? yani mashabiki wa Simba mnatia aibu sana
wanatia aibu sanaHadi wanafukua makaburi ya kale[emoji1787][emoji1787][emoji1787]