Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,855
- 189,385
Mmakonde atakua chini ya ulinzi mkali sana na inajulikana ukimdhibiti Lui basi simba hakuna kituKuna Konde boy atamuua hiyo tarehe 8
Why?Atakuja kujinyea uwanjani uyo
kama walivyomdhibiti Gwambina?Mmakonde atakua chini ya ulinzi mkali sana na inajulikana ukimdhibiti Lui basi simba hakuna kitu
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Akili unazielezeaje mzeeSijawahi ona beki mwenye akili nyingi Kama shaibu ninja
Mmakonde atakua chini ya ulinzi mkali sana na inajulikana ukimdhibiti Lui basi simba hakuna kitu
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Hata kagera walimdhibiti, siku hiyo tutapata penati tatu kupitia kwakeMmakonde atakua chini ya ulinzi mkali sana na inajulikana ukimdhibiti Lui basi simba hakuna kitu
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Walipoona Simba wamechukua kocha toka El Mereikh nao wakaenda kulekule kwa akili za Senzo za kucopy na paste toka kwa Babrahuyo kocha wenu wa bei chee.
Hana maisha marefu hapo.
Mnaokota okota makocha