Abdallah Shaibu 'Ninja' pongezi kwako upambanaji wako ndio tunaohitaji Young Africans

Abdallah Shaibu 'Ninja' pongezi kwako upambanaji wako ndio tunaohitaji Young Africans

Kichwa Kichafu

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2017
Posts
44,855
Reaction score
189,385
Habari,

Mnyonge mnyonge ila haki yake mpeni ndicho nimekiona kwa Abdallah Shaibu 'Ninja' kwenye mechi ya leo dhidi ya Azam Fc japo tumepoteza.

Ninja safi sana kwa hiyo spirit naendelea kukupa pongezi zako umeweza kufanya yote kama ulivyofanikiwa kukaba hadi kivuli katika nafasi yako kama defender.

Napendekeza kwa leo kuwa Man of the match 'MOTM'.

Mnyonge mnyonge ila haki yake mpeni!
 
Sijawahi ona beki mwenye akili nyingi Kama shaibu ninja
 
Back
Top Bottom