Uchaguzi 2020 Abdallah Zombe achukua fomu kuomba ridhaa ya kuwania Ubunge Songea Mjini kupitia CCM

Uchaguzi 2020 Abdallah Zombe achukua fomu kuomba ridhaa ya kuwania Ubunge Songea Mjini kupitia CCM

mwanamwana

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2011
Posts
1,309
Reaction score
4,798
Kamanda Zombe achukua fomu kuomba ridhaa ya kuwania Ubunge Songea Mjini. Zombe ni maarufu kwenye midomo ya watu kutokana na kesi ya mauaji iliyokuwa inamkabiri ambapo mwaka 2016 aliachiwa huru na Mahakama ya Rufaa ambapo pia mshirika wake Christopher Bageni alihukumiwa kunyongwa hadi kufa.

Abdallah Zombe akiwa Kaimu Kamanda wa Dar, 2006 aliunganishwa kwenye kesi ya mauaji ya wafanyabiashara wa madini ambao ni Ephraim Sabinus Chigumbi, Sabinus Chigumbi Jongo, Juma Ngugu na Mathias Lunkombe.

Pia soma
> Kesi ya Abdallah Zombe: Mashitaka, hatia, hukumu na yanayojiri...
> DPP amuondolea shtaka Abdallah Zombe
> Zombe aachiwa huru, Mshirika wake ahukumiwa kunyongwa hadi kufa

IMG-20200716-WA0080.jpg
IMG-20200716-WA0081.jpg
 
Aiseh unaweza kuta retired presidaaa wameomba ubunge
Kumbe ubunge ni kwiyooo🐤🐣🐓🦆🦅🐤🐥🐦 sana
 
Hana ishu zama zake zimepita yule. Hongo za majambaka kama hazikumtosha ubunge hautampeleka popote
 
Yake madini na fedha walizowaibia malehemu wa Mahenge zilishakwisha?
 
Back
Top Bottom