Uchaguzi 2020 Abdallah Zombe achukua fomu kuomba ridhaa ya kuwania Ubunge Songea Mjini kupitia CCM

Jamaa ana roho ngumu sana ! Yaani watu wanakukumbuka kwa mabaya ...badala ya kutulia nyumbani unaibuka tena ili iweje!????
 
Huyu anatakiwa aendelee na kesi yake
 
Jamaa ana roho ngumu sana ! Yaani watu wanakukumbuka kwa mabaya ...badala ya kutulia nyumbani unaibuka tena ili iweje!????
Itakuwa ile kesi imemuwehusha, nakataa kama akili za kawaida ndio zimemshawishi kugombea
 
Huyo jamaa bwana .. Si- muuaji Huyo

No wonder ccm imejaa wauaji kibao
 
ccm ni mtaji wa wehu
 
Yaani huyu kesi yake ilikuwa ni lazima ninunue gazeti la mwananchi.Jamaa mjanja aliua wote waliokuwa na ushahidi wa kumtia kwenye kifungo cha kunyongwa.Kila lenye kheri kwake .
 
Huyo Mwamba alipiga Pesa sana Enzi za Mahita.
 
Mzee wangu pamoja ni haki yako lakini bado tuna uchungu na wale marehemu mliwaonea
 
Kuna sura zingine jamani, yaani sura haina mvuto wa kiuongozi kabisa.
 
Kwa ccm ilivyo basi huyo atapewa kipau mbele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…