Abdelhak Benchika Haendani na Philosopia ya Mpira wa Simba SC.

demigod

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2015
Posts
8,292
Reaction score
15,250
Sioni Benchika akitoboa pale Simba SC.

Jamaa hana mpira mzuri wa kuvutia, Alipokuja Dar ma USM Alger alizidiwa possession na pia second leg tena wakiwa na home advantage wakazidiwa possession na kuchezewa mpira mkubwa sana dhidi ya UTO.

Ana philosophia tofauti sana ya mpira ambayo haito tufaa Simba. Ninaona wazi kabisa kuwa ni mwanya mwingine tena wa UTO kutawala soka la bongo kwa misimu miwili tena.

Sioni kabisa kama wakina Sadio wanaweza kupendelea zaidi kukabia nyuma, sioni kama ataendana na wachezaji wavivu kukaba kama wakina Chama.

Yes, anaweza ku-Click but inabidi kufanyike mfumuko mkubwa sana wa wachezaji na kusajiliwe wachezaji wapya.

Sioni kama Uongozi utakuwa tayari kumpa wachezaji wanao weza kumsaidia.

Ninaona mbele yangu iko sababu ya kukubali changamoto ya utawala wa Uto kwa misimu mingine 2 ili sisi tutumie muda huo kukaa sawa.

Ikumbukwe tunaongoza kwa kufukuza kazi idadi kubwa sana ya walimu.

Letus wait and see!
 
Sasa hivi ni mwendo wa kukurupuka kwenye kila kitu, kuanzia jezi hadi kocha.
 
licha ya hayo yote,je wachezaji wapo? maana huyo kocha hachezi yeye,pia je watampa wasaidizi wenye uwezo?
 
Wew nae una mpima kocha kwenye gem mbili,,ile ni gem plan mzee warabu gem za kutafuta matokeo huwa wana plan kali kam hzo na kubali..kwan baada ya gem hzo ba uto si alichukua kombe
 
licha ya hayo yote,je wachezaji wapo? maana huyo kocha hachezi yeye,pia je watampa wasaidizi wenye uwezo?
Mbona tumesikia kua timu ikizidiwa kocha anaingia yeye mwenye? au jamaa walikua wanatania?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…