Abdi Banda ashikiliwa na polisi akituhumiwa kwa wizi wa gari

Abdi Banda ashikiliwa na polisi akituhumiwa kwa wizi wa gari

Usibishe kifala, uandishi uliotumika ni hovyo

Naona mkuu unatafutiana ban ili nikose kushangilia vizur ubingwa wa yanga hapo Jumatatu!!!!
Ngoja kwanza nishangilie ubingwa j3 then nikamtoe mwarabu kwao halafu unitafutie vizur ban......
 
Hii Timu asili yake ni wizi.

1. Mustafa Hassanol - mpaka leo yupo jela wa wizi.
2. Rage alifungwa kwa wizi.
3. Emmuel Okwi- Mwizi.
 
Kosa kubwa kumpa gari mwanamke na kadi ikawa na jina lake,akikutibua ukichukua gari hiyo hapo umeiba,tubadilike michepuko!
 
Mimi nafikiria kivingine,huenda Banda alimnunulia gari huyo mwanamke na ameamua kumpora na bint kaamua kwenda kushtak polisi kivingine.HUENDA!!!!!!!!!


yaani amnunulie demu wake wakati mwenyewe hata kuendesha hajui? .... amefuata tu yale ya waliomtangulia, maana ukipitia timu hii mmhhhh....
 
Hii Timu asili yake ni wizi.

1. Mustafa Hassanol - mpaka leo yupo jela wa wizi.
2. Rage alifungwa kwa wizi.
3. Emmuel Okwi- Mwizi.

Mkuu, pia Michael Wambura hadi anashindwa kukabidhi ofisi TFF maana jela ingehusika
 
Hii Timu asili yake ni wizi.

1. Mustafa Hassanol - mpaka leo yupo jela wa wizi.
2. Rage alifungwa kwa wizi.
3. Emmuel Okwi- Mwizi.

Wanayanga msijifanye hamnazo, Yusuph Manji si ni mmoja ya watu waliochukua fedha za EPA. Acheni hizo
 
Kuna uhusiano Kati ya mikia na wizi!Toka zaman ukianzia kwa Mambosasa,Michael Paul,Christopher Alex na Leo Banda wote wameshalala Central kwa tuhuma za ukibaka
Nilisikiaga pia jina kama Hasanoo!
 
Beki wa Simba, Abdi
Banda anashikiliwa na
Jeshi la Polisi
Tanzania kwa tuhuma za
kushiriki upotevu wa
gari lililoibiwa.
Habari za uhakika
zilizoifikia
SALEHJEMBE zimeeleza
kuwa Banda
anashikiliwa pamoja na
mdogo wake kwa tuhuma
za wizi wa gari
linalomilikiwa na
mwanamke mmoja
aliyeelezwa kuwa ni
mpenziwe.
Ingawa viongozi wa
Simba wamekuwa wagumu
kupatikana na
kuzungumzia suala
hilo, lakini
SALEHJEMBE
imethibitisha Banda
ameshikiliwa kituoni
hapo tokea jana usiku.
Mmoja wa askari wa
kituo cha Magomeni
amethibitishwa
kushikiliwa kwa beki
huyo mwenye uwezo wa
kucheza kama kiungo na
uchunguzi unaendelea.
“Kweli yuko kituoni
anashikiliwa,
anashikiliwa yeye na
mdogo wake kuhusiana
na kuibiwa kwa gari la
dada mmoja anayeelezwa
ni mpenzi wa mchezaji
huyo,” alisema.
Taarifa zinaeleza
Banda amekuwa
akilianzima gari hilo
na kulitumia kila
mara.
“Kweli amekuwa
akilitumia gari hilo
lakini yeye hajui
kuendesha. Mdogo wake
amekuwa akiendesha
gari hilo na kuna
mkanganyiko wa
taarifa.
“Inaelezwa wakati
linapotea yeye alikuwa
jijini Mbeya Simba
ilipokwenda kuivaa
Mbeya City. Lakini
mmiliki wa gari
anasisitiza Banda
ndiye alilianzima
kupitia mdogo wake.
Hivyo tumewaachia
polisi wafanye kazi
yao,” alieleza ndugu
wa Banda.
Viongozi wa Simba
walikuwa hawapokei
simu zao lakini
ilielezwa Katibu Mkuu
wa klabu hiyo, Stephen
Ally alikuwa katika
kituo hicho cha
Magomeni
akilishughulikia suala
hilo.
 
Passo used

Hata kama kamnunulia demu wake, hilo gari halina hadhi yake kama mchezaji wa timu kubwa. Huo ni umaskini mkubwa wa kifikra kwa wachezaji wa mikia.

Pole sana Abdi Banda, hata ukienda jela ni halali yako, inaonekana hujui kuzitendea haki fedha zako.
 
Kuna uhusiano Kati ya mikia na wizi!Toka zaman ukianzia kwa Mambosasa,Michael Paul,Christopher Alex na Leo Banda wote wameshalala Central kwa tuhuma za ukibaka

Naona kandambili na askari wa kike kuna mashetani fulani

Nahondha wa Yanga na Taifa Stars, Nadir Haroub ‘Cannavaro’, ameomba radhi kutokana na kitendo chake cha udhalilishaji cha kumkumbatia na kumbusu askari polisi mwanamke aliyekuwa katika sare za kazi wakati akishangilia bao pekee alilofunga katika ushindi wao wa 1-0 dhidi ya Coastal Union jijini Tanga wiki iliyopita.
WAKATI Yanga ikijiandaa na mchezo muhimu wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara dhidi ya Coastal Union, kipa namba tatu wa timu hiyo, Said Mohamed, juzi alishikiliwa kwa muda na Jeshi la Polisi, baada ya kumshambulia askari wa kike wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT).
Tukio hilo lilitokea eneo la Kivukoni wakati basi la timu hiyo lililokuwa limewabeba wachezaji likiwa mbioni kuvuka kuingia Kigamboni ambako timu hiyo ilikwenda kufanya mazoezi.
 
yaani amnunulie demu wake wakati mwenyewe hata kuendesha hajui? .... amefuata tu yale ya waliomtangulia, maana ukipitia timu hii mmhhhh....
Mdau wapo watu wana magari ya maana ila hawajui kuendesha,wanaendeshwa tu,je wamiliki wa mabasi au daladaala wanajua kuyaendesha?
 
Kuna uhusiano Kati ya mikia na wizi!Toka zaman ukianzia kwa Mambosasa,Michael Paul,Christopher Alex na Leo Banda wote wameshalala Central kwa tuhuma za ukibaka

Umesahau hawa:Hassan Hassanoo,Azim Dewji(Issue ya TRA)Halafu top wao ni Hans Papa(Uhaini) Haji Manara(magari ya ccm hadi akatimuliwa huko) hii timu ni balaa!!
 
Beki wa Simba, Abdi Banda anashikiliwa na Jeshi la Polisi Tanzania kwa tuhuma za kushiriki upotevu wa gari lililoibiwa.


Habari za uhakika zilizoifikia SALEHJEMBE zimeeleza kuwa Banda anashikiliwa pamoja na mdogo wake kwa tuhuma za wizi wa gari linalomilikiwa na mwanamke mmoja aliyeelezwa kuwa ni mpenziwe.

Ingawa viongozi wa Simba wamekuwa wagumu kupatikana na kuzungumzia suala hilo, lakini SALEHJEMBE imethibitisha Banda ameshikiliwa kituoni hapo tokea jana usiku.

Mmoja wa askari wa kituo cha Magomeni amethibitishwa kushikiliwa kwa beki huyo mwenye uwezo wa kucheza kama kiungo na uchunguzi unaendelea.

"Kweli yuko kituoni anashikiliwa, anashikiliwa yeye na mdogo wake kuhusiana na kuibiwa kwa gari la dada mmoja anayeelezwa ni mpenzi wa mchezaji huyo," alisema.

Taarifa zinaeleza Banda amekuwa akilianzima gari hilo na kulitumia kila mara.

"Kweli amekuwa akilitumia gari hilo lakini yeye hajui kuendesha. Mdogo wake amekuwa akiendesha gari hilo na kuna mkanganyiko wa taarifa.

"Inaelezwa wakati linapotea yeye alikuwa jijini Mbeya Simba ilipokwenda kuivaa Mbeya City. Lakini mmiliki wa gari anasisitiza Banda ndiye alilianzima kupitia mdogo wake. Hivyo tumewaachia polisi wafanye kazi yao," alieleza ndugu wa Banda.

Viongozi wa Simba walikuwa hawapokei simu zao lakini ilielezwa Katibu Mkuu wa klabu hiyo, Stephen Ally alikuwa katika kituo hicho cha Magomeni akilishughulikia suala hilo.

Source:EXCLUSIVE: ABDI BANDA ASHIKILIWA NA POLISI AKITUHUMIWA KWA WIZI WA GARI - SALEH JEMBE

Je Mwenyekiti Wako PANJUANI Siyo Mwizi Na Muuza Bwimbi Mkuu Tanzania? Mpayukaji Wenu Ile Kesi Yake Ya IMPERSONATION Imeshaisha Mahakamani? Ukitaka Nikupe Listi Ya Wezi Na Majambazi Wengine Wa Jangwani Niambie Kisha Tutapima Wa Simba Na Wa Yanga Wepi Ni Wengi!
 
Beki wa Simba, Abdi
Banda anashikiliwa na
Jeshi la Polisi
Tanzania kwa tuhuma za
kushiriki upotevu wa
gari lililoibiwa.
Habari za uhakika
zilizoifikia
SALEHJEMBE zimeeleza
kuwa Banda
anashikiliwa pamoja na
mdogo wake kwa tuhuma
za wizi wa gari
linalomilikiwa na
mwanamke mmoja
aliyeelezwa kuwa ni
mpenziwe.
Ingawa viongozi wa
Simba wamekuwa wagumu
kupatikana na
kuzungumzia suala
hilo, lakini
SALEHJEMBE
imethibitisha Banda
ameshikiliwa kituoni
hapo tokea jana usiku.
Mmoja wa askari wa
kituo cha Magomeni
amethibitishwa
kushikiliwa kwa beki
huyo mwenye uwezo wa
kucheza kama kiungo na
uchunguzi unaendelea.
"Kweli yuko kituoni
anashikiliwa,
anashikiliwa yeye na
mdogo wake kuhusiana
na kuibiwa kwa gari la
dada mmoja anayeelezwa
ni mpenzi wa mchezaji
huyo," alisema.
Taarifa zinaeleza
Banda amekuwa
akilianzima gari hilo
na kulitumia kila
mara.
"Kweli amekuwa
akilitumia gari hilo
lakini yeye hajui
kuendesha. Mdogo wake
amekuwa akiendesha
gari hilo na kuna
mkanganyiko wa
taarifa.
"Inaelezwa wakati
linapotea yeye alikuwa
jijini Mbeya Simba
ilipokwenda kuivaa
Mbeya City. Lakini
mmiliki wa gari
anasisitiza Banda
ndiye alilianzima
kupitia mdogo wake.
Hivyo tumewaachia
polisi wafanye kazi
yao," alieleza ndugu
wa Banda.
Viongozi wa Simba
walikuwa hawapokei
simu zao lakini
ilielezwa Katibu Mkuu
wa klabu hiyo, Stephen
Ally alikuwa katika
kituo hicho cha
Magomeni
akilishughulikia suala
hilo.

Picha Iliyopo Ktk Avatar Yako Inanitisha Hata Kukujibu!
 
timu ya wahuni wachezaji vibaka no wonder mwenyekiti wao akawaita mambumbumbu,,,litimu lote linaendeshwa kihuni huni mara utasikia wachezaji hawana pa kuishi wanaishi kwa wazazi wa marafiki zao hadi wanaamua kugoma kwa nini wasiibe???
 
Back
Top Bottom