Abdi Banda: Simba wanaweza kutumia pesa kuwachanganya marefa. Awatahadharisha Kaizer Chief

Abdi Banda: Simba wanaweza kutumia pesa kuwachanganya marefa. Awatahadharisha Kaizer Chief

njaakalihatari

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2019
Posts
4,081
Reaction score
8,671
Nakumbuka kabisa huyu jamaa yeye na Hassan kessy ni mabeki walioondoka simba kwa nyodo na kejeli sana na wote wakaishia kutupiana maneno na Haji Manara kisa tu Simba ilikuwa na hali mbaya kipesa majuzi baada ya kutemwa na team mbovu ya Baroka na yeye kuona hamna team inayomtaka akawa anajipendekeza arudi Simba.

Sasa this week kahojiwa na mtandao(gazeti)kick off huko South Africa KAITUKANA SIMBA NA KUIDHALILISHA VBAYA MNO. NITASHANGAA KAMA UONGOZI WA SIMBA UTAKAA KIMYA.

MKIKAAA KIMYA NA KUPUUZA BASI JUENI TEAM YOYOTE MKIITOA ROBO FAINALI HASWA KAZIER CHIEFS LAZIMA MALALAMIKO YATOKEE...BANDA KASEMA.

- SIMBA INATUMIA PESA KUHONGA MAREFA
  • INADANGANYA VIPIMO VYA CORONA KWA KUSAIDIWA NA SERIKALI
  • INATUMIA MBINU CHAFU KIMCHEZO
===

"Chiefs fans must not expect that Simba will be the easiest of all opponents that they stand to play against,” warns Tanzanian defender Abdi Banda, who spent three years at Simba, in an interview with KickOff.com.

"Chiefs obviously have better quality by way of players and the kind of coaching, tactics and facilities that they have but Simba is a beast. With Simba you must know that it can even get ugly when they play at home. If Chiefs is to get Simba, then they must make sure that if the first leg is here in Johannesburg then they win 4-0 because any other score they will be inviting trouble in Dar es Salaam.

"Simba will use their home ground very by employing all tactics possible both clean and dirty. With this covid going on they can even identify the dangerous players from Chiefs and when you arrive in Tanzania you get to be told that those players are positive. Many teams have already been victims.

officials, supporters, journalists… they are all partisan like that.

"Simba is a team that enjoys government, so they use any tactics in the book to disturb you. No one will ever beat Simba in Tanzania. Simba has money and maybe they will also confuse the referees. So, Chiefs fans must not think of Simba as their ticket to the semi-finals because that won’t happen so easy."
 
Huyo nincompoop atafute pengine pa kulia. Ni vyema akajaua kuwa hana kiwango cha kuchezea Simba.
Kama simba watashindwa hata kumshtaki Abdi Banda basi kuna ukweli kwamba hiyo michezo michafu wanaifanya nakuhakikishia simba hat aampige mtu goli 20 robo fainali hayo maneno ya Banda yatakuwa reference tena watasema yamesemwa na mchezaji wao wa zamani aliekaa nao miaka 3...kumbuka El merreikh kutua tu airport kukaa kwenye foleni wakaanza malalamiko ina maanaa wanakuja na attitude hiyo.

Ila MO katuweza kweli yaani huyo mwenyekiti sijui mangungu NI MANGUNGU KWELIKWELI team inachafuliwa brand yamenyamaza kimya tu kama mazezeta..wkati mwingine bora harakati za uongozi wa utopolo fc kujitetea hata kama ni uoongouongo
 
Hao wote hawana hadhi Ya Kupewa Airtime na Simba. Nashauri Manara Asijisumbue kujibu chochote...CAF itaisafisha Simba kama ilivyofanya malalamiko Ya Al Merrekh...!
 
Hao wote hawana hadhi Ya Kupewa Airtime na Simba. Nashauri Manara Asijisumbue kujibu chochote...CAF itaisafisha Simba kama ilivyofanya malalamiko Ya Al Merrekh...!
Fungua link usome utajua kwamba alichoongea banda siyo level ya manara kweli ni kubwa zaidi ya hapo kasema simba inashirikiana na serikali ya Tanzania kufanya michezo michafu kam a vile kubambikia majibu ya corona,kuhonga waamuzi...hatari san abasi yaani sasa kila mtu aropoke tu halafu watu wake kimya basi siku nyingine manara asihangaike na kitenge tena au wana mabeef yao mengine ndiyo mana ahuwa anawarukia?
 
Kwa jinsi hiyo link inavyojieleza sidhani kama alieongea hayo ni banda
Ndiyo maana simba has to get to the bottom of this wajue ukweli if you read between the lines simba wakipangwa na kazier chiefs hata simba amfunge 50-0 kwa mkapa kutakuwa na malalamiko ya kufa mtu nashangaa wengine wana suggest eti simba impotezee anyway TOP BRASS YA SIMBA YA SASAA INA KA UZEMBE FULANI CHA AJABU SANA WANATUMIA HELA NYINGI KUHUDUMIA TEAM HALAFU WANACHAFULIWA NA VIJITU KA A BANDA WANAKAUSHA LAKINI SILENCE MEANS YES LABDA HUWA WANAFANYA MICHEZO MICHAFU WAKISHIRIKIANA NASERIKALI YA TANZANIA KAMA ALIVYOSEMA BANDA na kama ni kweli basi hata mimi nitasambaza hiyo link mitandaoni afrika nzima kwa juhudi kubwa
 
Mbona kila mtu anajua? Kaongea ukweli kwani ni nini kadanganya! Elmeleki ya Sudan ilifanyiwa uhuni km huo na CAF wakaa kimya.
Caf hawakukaa kimya unless haukuwa na bando na hukuona barua ya majibu jamaa walifoji documents za serikali ya TZ simba ndiyo wazembe kukaa kimya kuto wa sue ingawa naona hata hili la Banda wanakaa kimya tena LABDA KUNA UKWELI..SILENCE MEANS YES , banda kasema pia wanahonga marefa na wanashirikiana na serikali ya Tanzania
 
Banda ni mpumbavu wa mwisho. Vita kafungwa nyumbani kwao, Merreikh kateseka nyumbani kupata draw,Giants Ahly walifunga kagoli ka Mungu saidia. Simba katoa best players wawili all over Africa halafu kambwa kamoja kanajinyea huko mpaka kuchafua serikali. Jinga sana
 
kama simba watashindwa hata kumshtaki abdi banda basi kuna ukweli kwamba hiyo michezo micchafu wanaifanya nakuhakikishia simba hat aampige mtu goli 20 robo fainali hayo maneno ya banda yatakuwa reference tena watasema yamesemwa na mchezaji wao wa zamani aliekaa nao miaka 3...kumbuka el merreikh kutua tu airport kukaa kwenye foleni wakaanza malalamiko ina maanaa wanakuja na attitude hiyo
Ila MO katuweza kweli yaani huyo mwenyekiti sijui mangungu NI MANGUNGU KWELIKWELI team inachafuliwa brand yamenyamaza kimya tu kama mazezeta..wkati mwingine bora harakati za uongozi wa utopolo fc kujitetea hata kama ni uoongouongo
Jifunze kutomjibu kila mtu, Banda si kama Chikumbalanga tu. Tunasubiri hao Viongozi wa Kaizer wazungumze ndo tule nao sahan moja, ndo watasema km reference yao ni Abdi na tutaruka nao juu juu.
 
Banda ni mpumbavu wa mwisho. Vita kafungwa nyumbani kwao, Merreikh kateseka nyumbani kupata draw,Giants Ahly walifunga kagoli ka Mungu saidia. Simba katoa best players wawili all over Africa halafu kambwa kamoja kanajinyea huko mpaka kuchafua serikali. Jinga sana
Angalia kwa angle nyingine ndugu mimi shabiki lialia wa simba ila kina shaffih dauda kina kitenge hata wakitoa tetesi tu kwamba meddie kagere anataka ondoka simba Hajj manara huwa anawashukia na full force mfano ni majuzi tu alivyomshukia kitenge hadi kutoa siri za kuangusha hirizi redio one mara siri ya mtu anayemfataga huko marekani ila maskini ya Mungu kitenge aliongea kuhusu tetesi tu.

Leo Abdi banda anakuambia SIMBA INAHONGA MAREFA,INA TAMPER NA RESULTS ZA COVID KWA KUSHIRIKIANA NA SERIKALI kina manara wote kimyaaaaaaa,labda mimi na wewe kuna tusiyoyajua wanaogopa wakimsumbua banda atamwga radhi zaidi kwa hiyo solution ni kukaaa kimya ANYWAY HII INTERVIEW YA BANDA INA TREND SANA HUKO SOUTH AFRICA WANAIITA SIMBA FC DIRTY ANTICS TEAM,COVID 19 TEAM ingia kwenye page za facebook za michezo za mzansi au za ma fans wa kaizer chiefs kajitahidi Abdi banda kudhalilisha brand inayojengwa kwa mabillions what a shame
 
Jifunze kutomjibu kila mtu, Banda si kama Chikumbalanga tu. Tunasubiri hao Viongozi wa Kaizer wazungumze ndo tule nao sahan moja, ndo watasema km reference yao ni Abdi na tutaruka nao juu juu.
Siyo kweli El merreikh waliichafua sana simba mitandaoni hadi kwenye facebook page yao wakaiita A COVID 19 TEAM majibu ya CAF yakaonyesha kwamba jamaa waliforge makaratasi ya serikali maana hayatolewagi kwenye departure..ULIONA HATUA YOYOTE AU TAMKO LA UONGOZI WA SIMBA KUHUSU ISSUE HIYO?walishindwa hata kuitisha press conference kulaani wa sudan kufoji makaratasi ya serikali au kuwa counter sue huko CAf?

waache tu waendeeleee kupambana na kina kitenge kila wakitamka tetesi za usajili ila ya maana yanayotia doa wanajikunyata na kfukia vichwa chini kama mbuni kumbe mwili waonekana
 
Wanasimba wenzangu samahani kwa kuujibu huu uzi ni kweli nilitaka niupotezee lakin naomba nielezee sababu kidogo kabla uzi haujajifia wenyewe au kirndelezwa na utopolo.

1.Huyu jamaa sio mwanasimba mwenzetu kama anavyojinasibu.

2.Banda kama yupo south anapataje habari za ndani kuhusu simba wakati hata mahasimu wetu yanga wangelipata na wangesaidia kutushtaki lakini wamezikosa, simply vipimo kama vingefanywa na watu waserikalini kushirikiana na Simba kwa nchi hii Kila mtu angejua ni vigumu kukosa watu wa Yanga serikalini.

3.Banda anasemaje hayo ili kuwatahadharisha kaizer chiefs wakati Simba atakutana na kati ya Mc Algier,Belouizdad na hao Chiefs.

4.Vipimo vya corona vinafanywa chini ya uangalizi wa CAF sasa kwann useme ni Simba na serikali inahusika na kuwaacha maafisa wa CAF.

5.Simba kapata matokeo home and away imagine kapoteza game 1 tu away na Congo tulipata matokeo licha ya wachezaji wetu muhimu kukutwa na Corona na hatukulaumu, The same Sudan mpaka tukarudia vipimo.

6.CAF hawafuatiliagi ujinga kama huu kwan unafikiri team ngap zinalalamika makwao kuhusu Corona imagine Namungo walifanyiwa figisu lakin CAG walitafuta njia ya Namungo kushindana uwanjani dhidi D Agosto.

7. Simba kashinda game dhidi ya Al Ahly waliokua full squad tena bila yoyote alokutwa na Corona na wakati huo walikua na morali ya juu kwa kuwa nafasi ya 3 kwa ubora wa club duniani tena wakipoteza kwa magoli machache na ya bahati dhidi ya Bayern,,,Je hili halitoshi kusema Simba ni bora.

8. Banda ligi ya south Africa ina team 16 Kaizer chief wapo nafasi ya 10 tena bila kuwa na Viporo kweli wakipigwa na Simba tano kwa mkapa wasingizie corona na sio ubora wao..na wachezaji wataokutwa na corona wasiruhusiwe kucheza hata kidogo sababu hatuwezi ruhusu virusi vipya toka south viingie nchini eti tu kwa kuogopa Watasingizia corona

9.Hao sijui Kick off dot com ni kiblog cha ajabu na sio maarufu yani ni kama lokosa ahojiwe sokaplace.com na aseme Esperance wanasaidiwa na vipimo vya covid na Serikali ya Tunis kudhoofisha team pinzani



10.Punguza mshono homa itakuanza tena baada ya tarehe 30
 
Huyo mjinga Simba haijacheza na kupata matokeo kwa mkapa tu je hadi huko ugenini Simba alikuwa akitumia mbinu hizo kupata matokeo?

Sent from my Nokia 3.2 using JamiiForums mobile app
 
Sisi kama Simba hayo maneno yake huyo Banda wala hayatutishi kwa lolote. Nadhani hapo kaenda kuuza maneno tu apate hela ya kula kwasababu anaonekana ana njaa kali sana.

Kama aliyoyasema anauhakika nayo aweke ushahidi. Nashauri huyu jamaa asitutoe kwenye reli. Yani tusipoteze muda kama klabu kumjibu wala kumfuatilia.

Simba kama ni mpira uwanjani team inaonekana ina perform katika level ya juu kabisa. Hata mechi tuliyofungwa na Ahly tulicheza mpira mkubwa sana. Sasa huyo shoga analeta maneno yake ya kiutopolo sisi tumsikilize ya nini?

Mwambie kesho atafute gazeti jingine akauze maneno apate hela ya kula.
 
Sisi kama Simba hayo maneno yake huyo Banda wala hayatutishi kwa lolote. Nadhani hapo kaenda kuuza maneno tu apate hela ya kula kwasababu anaonekana ana njaa kali sana...
Hata serikali kumtikisa huyo banda inashindikana? nime search google abdi banda warns kaizer chiefs nimekuta hadi websites za nigeria wameisha i copy habari imesambaaa sana KUMBUKA KASEMA SERIKALI YA TANZANIA INASHIRIKIANA NA SIMBA KUFANYA MICHEZO MICHAFU.

Mbona kina kitenge wakitangazaga kwa mfano tetesi za usajili simba huwa manara anawashukia kwelikweli hadi kesi zinakuwa nzito ila hili kila mtu anakazania dogo apotezewe?natamani atumiwe barua hata na wizara ya michezo kuthibitisha tuhuma kwamba serikali yetu ina cheat kwa kushirikiana na simba
 
Back
Top Bottom