AKILI TATU
JF-Expert Member
- Feb 10, 2016
- 2,659
- 2,827
Mzee tahadhari ni nzuri wakati huu..kumbuka kuwa now w soka limehamia africa kusini..pengine jitihada zote kubwa zinaweza kuchukukiwa Ili kufanikisha malengo yao.Wanasimba wenzangu samahani kwa kuujibu huu uzi ni kweli nilitaka niupotezee lakin naomba nielezee sababu kidogo kabla uzi haujajifia wenyewe au kirndelezwa na utopolo....
Hao kick off ni blog kubwa ya mechezo africa kusini mzee...nikama unavyoona hapa sokalabongo.com ama salehjembe ama mwanasports so sio wakupuuzwa hata kidogo.