AKILI TATU
JF-Expert Member
- Feb 10, 2016
- 2,659
- 2,827
Mzee tahadhari ni nzuri wakati huu..kumbuka kuwa now w soka limehamia africa kusini..pengine jitihada zote kubwa zinaweza kuchukukiwa Ili kufanikisha malengo yao.Wanasimba wenzangu samahani kwa kuujibu huu uzi ni kweli nilitaka niupotezee lakin naomba nielezee sababu kidogo kabla uzi haujajifia wenyewe au kirndelezwa na utopolo....
mpuuze huyo cha kwanza kaniambia mimi siyo mwana simba halafu ananiambia eti nitulize mshono....hii kwa sasa ni mojawapo ya habari inayodiscussiwa sana kwenye pages na blogs za soccer south africa wanaaita team yetu covid 19 team na wanasisitiza banda kachezea simba miaka 3 kwa hiyo anaijua vizuri yaani hata kumtumia barua ya mwanasheria wa simba huyo abdi banda inashindikana?Mzee tahadhari ni nzuri wakati huu..kumbuka kuwa now w soka limehamia africa kusini..pengine jitihada zote kubwa zinaweza kuchukukiwa Ili kufanikisha malengo yao...
Mbona kila mtu anajua? Kaongea ukweli kwani ni nini kadanganya! Elmeleki ya Sudan ilifanyiwa uhuni km huo na CAF wakaa kimya.
Mkuu uongozi sio mihemuko isiyo na maana, kuna mambo mengi ya muhimu kuyashughulikia kuliko kuhangaika kujibishana na magazeti.Kama simba watashindwa hata kumshtaki Abdi Banda basi kuna ukweli kwamba hiyo michezo michafu wanaifanya nakuhakikishia simba hat aampige mtu goli 20 robo fainali hayo maneno ya Banda yatakuwa reference tena watasema yamesemwa na mchezaji wao wa zamani aliekaa nao miaka 3...kumbuka El merreikh kutua tu airport kukaa kwenye foleni wakaanza malalamiko ina maanaa wanakuja na attitude hiyo.
Ila MO katuweza kweli yaani huyo mwenyekiti sijui mangungu NI MANGUNGU KWELIKWELI team inachafuliwa brand yamenyamaza kimya tu kama mazezeta..wkati mwingine bora harakati za uongozi wa utopolo fc kujitetea hata kama ni uoongouongo
Wakimtumia barua itasaidia nn?!!kwanza uyo Banda amecheza Simbasc kipindi kipi?!kama sikosei hajawahi kuchezea Simbasc kwenye michuano yoyote ya champion!!mpuuze huyo cha kwanza kaniambia mimi siyo mwana simba halafu ananiambia eti nitulize mshono....hii kwa sasa ni mojawapo ya habari inayodiscussiwa sana kwenye pages na blogs za soccer south africa wanaaita team yetu covid 19 team na wanasisitiza banda kachezea simba miaka 3 kwa hiyo anaijua vizuri yaani hata kumtumia barua ya mwanasheria wa simba huyo abdi banda inashindikana?
mpuuze huyo cha kwanza kaniambia mimi siyo mwana simba halafu ananiambia eti nitulize mshono....hii kwa sasa ni mojawapo ya habari inayodiscussiwa sana kwenye pages na blogs za soccer south africa wanaaita team yetu covid 19 team na wanasisitiza banda kachezea simba miaka 3 kwa hiyo anaijua vizuri yaani hata kumtumia barua ya mwanasheria wa simba huyo abdi banda inashindikana?
Yeah, si kila kitu au kila mtu anatakiwa ajibiwe, wengine ni wa kuwapuuzia tuJifunze kutomjibu kila mtu, Banda si kama Chikumbalanga tu. Tunasubiri hao Viongozi wa Kaizer wazungumze ndo tule nao sahan moja, ndo watasema km reference yao ni Abdi na tutaruka nao juu juu.
Hao wote wachumbaI wish simba ipangwe kati ya hawa wawili, BELOUIZDAD AU MC ALGER. Na ndio mwisho wa ke simba.. huyo kaizer hamna kitu mtajifungia magoli mingi
Utopolo na Simba word ni maadui wakubwa wa mwendelezo ya soka la TanzaniaKama uto ulivyo wa hovyo kwenye sayari hii
Hao wote wachumba
Kati yao na Al Ahly nani mkali?I wish simba ipangwe kati ya hawa wawili, BELOUIZDAD AU MC ALGER. Na ndio mwisho wa ke simba.. huyo kaizer hamna kitu mtajifungia magoli mingi