...Mhhh! sidhani Mkuu,sie-wengine humu wajombaX2/ma-punju tu bwana sanasana wikiendi enzi hizo ilikuwa kule 'silver sands' wakati inamilikiwa na UDSM au pale Mlimani park.lazima tutakuwa tushakutana Langata enzi zile wakati baba yao akina SHUSHU alipokuwa anaimiliki
Hivi mwanzilishi wa hii https://www.jamiiforums.com/entertainment-forum/8100-hawa-wako-wapi-sasa-13.html thread ana uhusiano na mwanzilishi wa hii?
Kweli ujafa ujaumbika nakumbuka enzi zile ukienda kiwanja safu ya bad boyz Dj's Franco, Mao na marehemu Abeli Siwale.
Mwenyezi mungu amponye Franco
na hapa ndio utaona tofauti yetu na wale jamaa wanaotoka kule nyanda za juu kusini
wee acha tuuu
mimi bionafsi najua tushakutana pale Bills..
anyway turudi kwenye abdi msomali
wako wapi hawa watemi wa 70's pale oysterbay, Deo Lee, Nguva na Papa, walikuwa wanatetemesha kama hakuna polisi vile
Wakati abdi anafariki kulikuwa na hofu kubwa sana dar kwani aliwapitia sana kwa mtego wa lift na chips yai.
Dereva wake amewini kinoma maana aliamua kutembea kwenye deals za bosi wake na sasa jamaa ni mla bata jijini. ni miongoni mwa wamiliki wa falcon drycleaner ili kumcover.... jamaa ana rock kinoma labda awe amefulia sasa ila....
Deo Lee is no more...R.I.P
RIP Deo Lee. Nakumbuka huyu jamaa alitaka kunivua raba mtoni zangu (bata za kenya) mitaa ya o'bay miaka ya 80s wakati natoka shuleni. Nilikimbia !! kipindi sana
Hivi nilikuja kusikia kuwa huyu jamaa baba yake alikuwa polisi..maana alikuwa hakamatwi na akikamatwa anaachiwa!!
Tell them, aidha sahamani kwa kadhia uliyoipata so far..!Jamani vipi tena Jf? Abdi was my brother na alifariki miaka 14 iliopita naomba tuache kuwaongelea vibaya waliotangulia,mi situmii nickname hili ni jina langu,tusihamishie Zeutamu huku.