Sammuel999
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 3,481
- 2,347
Potato potetoDida kaishiwa pesa ya kampeni huyu amefanya uamuzi sahihi...kama sera zake na za Raila zinaedana yupo mara sahihi...hivi Principal Ruto baada ya kugaragazwa ugavana na yule Mama bado Nasa watamwamini kuleta kura za Rift Valley kwa Raila kweli??
Raila yafaa ajipange upya kubweteka na maamuzi ya mahakama pekee hakutoshi kumpeleka Ikulu.
hivi hawa wagombea wengine sio matawi ya Raila na Uhuru maana kwa namna Kenya kulivyo naona kama ni wasidikizajiPotato poteto
Hyo ni 76,000 more votes
Na perception toka kwa somalis and oromos
Sent using Jamii Forums mobile app