Abduba Dida Presidency bid

Abduba Dida Presidency bid

Sammuel999

JF-Expert Member
Joined
Jun 1, 2016
Posts
3,481
Reaction score
2,347
d4c7cf95edd63da7ab20030aa7577c41.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
the kenya supreme court verdict has really inteffered with the country calendar..
 
Dida kaishiwa pesa ya kampeni huyu amefanya uamuzi sahihi...kama sera zake na za Raila zinaedana yupo mara sahihi...hivi Principal Ruto baada ya kugaragazwa ugavana na yule Mama bado Nasa watamwamini kuleta kura za Rift Valley kwa Raila kweli??
Raila yafaa ajipange upya kubweteka na maamuzi ya mahakama pekee hakutoshi kumpeleka Ikulu.
 
Potato poteto

Hyo ni 76,000 more votes

Na perception toka kwa somalis and oromos

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waacheni wakenya waje Kwangu Maana Uongozi hutoka kwa baba yangu acheni khofu kabisa... Baba yangu atawapa raisi mwingine baada ya miezi miwili... Sawa sawa...- Lipumba anawasalimu pia nimekumbuka
 
Back
Top Bottom