George Bush
Member
- Sep 8, 2024
- 59
- 42
Nyota inawaka upande wa Kijana Mdogo na Mjasiliamali katika mbio za Ubunge Jimbo la Tunduru Kaskazini na ni kama Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Jimbo la Tunduru Kaskazini WAMEAMUA kwa kauli moja kumpa kura kijana huyo mdogo lakini mwenye MAONO makubwa hapo kesho!
Kwa mujibu wa UTAFITI uliofanyika Jana na juzi na leo,miongoni mwa watiania Watano(5),Jina la ABDUKADIL ALLY ISSA ndio jina linalotajwa na Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Jimbo hilo kuliko Mtiania yoyote kati ya watiania Watano!
Mh ABDUKADIL ALLY ISSA mmoja wa vijana wenye mchango mkubwa kwa Maendeleo ya Jimbo na Wilaya ya TUNDURU,Baada ya kufanikisha Ujenzi wa soko la Mfano la Madini kwa mfumo wa PPP hivyo kuwaleta Wafanyabiashara wa Madini Wilayani Tunduru ndani ya mwamvuli mmoja!
Soko hilo la Madini kwa kiasi kikubwa liliwezekana kutokana na juhudi za Serikali pamoja na Kijana huyo mzawa wa Tunduru na baadae kuzinduliwa na Mh Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mh Mama Samia Suluhu Hassan mapema mwaka huu!
Upo uwezekano mkubwa wa Mh ABDUKADIL ALLY ISSA kuongoza katika kura hizo kufuatana na mchango wake kwa Wana Tunduru,na Mkoa wa Ruvuma kwa Ujumla!
Hakika Ilani ya Uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi ya 2025/2030 IPO mikono salama chini ya Kijana huyu makini!
Inawezekana "dogo" akamaliza biashara asubuhi na MAPEMA sana kesho!