Abdul Juma/Baba Diamond: "naumia baada ya familia kunikataa"'

Aibu kwa mama Dangote. Ina maana mzee alikuwa anapiga mbususu yenye akiwa na mimba changa ya mtu mwingine? Hii ni laana kubwa kwake.

Hata mfumo wake wa kimaisha nahisi ni wa kustruggle sana na huenda hafurahii maisha mazuri tunayohisi aliyonayo.

Makabila mengine ukichanganya mimba na umalaya hakika hautozaa mpaka uombe msamaha na ukili kuwa ulichepuka ndiyo unajifungua sasa la sivyo unakufa na mimba yako
 
Na wewe unatetea nadhani ndo zako hizii tabia.jiandae uzeeni.maana unatoka na povu na unasahau kuwa ukichimba njia wenzio wanaifata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…