rikiboy
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 21,952
- 43,265
Kwani Mwana FA nae mzee wake aliingia mitini???Huyu achune tu kama mzee wake Ommy Dimpoz na Mwana FA.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani Mwana FA nae mzee wake aliingia mitini???Huyu achune tu kama mzee wake Ommy Dimpoz na Mwana FA.
Mbona kuna mpaka thread yake humu JF.Kwani Mwana FA nae mzee wake aliingia mitini???
Na wewe unatetea nadhani ndo zako hizii tabia.jiandae uzeeni.maana unatoka na povu na unasahau kuwa ukichimba njia wenzio wanaifataKwa hizo sentence mbili humo kwenye bold naweza kukuelewa umri wako na ufahamu wako ulipoishia.
Huwezi kufananisha binadamu (diamond) na sisimizi,even hao sisimizi wanasaidiana ni vile tu hatuielewi lugha yao sembuse huyo diamond binadamu aliyepewa utashi wa kujua nani mwenye shida nani aliyeshiba?anatoa zawadi za magari kwa watu wasio damu yake wanaomsifia wakati mwengine sifa ambazo hana ila anashindwa kumfanya baba yake kuwa mtu wa mwisho kwa anaowasaidia?wewe kwa uelewa wako unadhani kukosa kwake kupewa pensel,kitunguu tembele sijui unga ndo kutamfanya huyo mzee asiwe baba yake?
Kama siyo mzee Abdul kuuloweka kavu uume wake kwa mama yake leo angekuwa ananunua ndege?leo angekuwa anachukua wanawake wazuri?(japo wanamwibia),starehe anazofanya leo angezipata?kama anaamini Mungu yupo na adhabu zipo basi hata afanye msaada wa aina gani kwa jamii kama kweli huyo mzee amemtoa kwenye kiuno chake huyo bwana mdogo hatakuwa na mwisho mzuri kama hakufanya yaliyoamrishwa na Mungu.