Yule ni utumbo kabisa na wewe utakuwa na akili mbovu kama zake.
Hana tofauti na mbwiga wa mbwiguke..
Ha ha ha.. Kipenga kula yake inategemea kuongea.. Aliwahi kucheza mpira kama golkipa but hakuwa na kiwango.. Alijaribu sigara pale.. Baadae akawa anatumia mdomo kula.. Kuna wakati alikuwa anatembea na mama mmoja aliekuwa anaendesha bar moja iko temeke inaitwa Pille Bar.. Akawa anacitiriwa pale.. Kuna katajiri katoto fulani kamwarabu anaitwa Muddy Mas.. ndo akampa ajira ya kuchapisha namba kwenye jezi ambazo yeye Muddy alikuwa analeta toka nje.. Kuna wakati yeye (Kipenga) alkuwa anakaa kwenye nyumba moja ya Muddy pale Chang'ombe..
Nenda TCC club Chang'ombe kaunta utakutana nae. Ukisikia makomandoo(njaa kali) wa mpira ndio hao
Mwiba kwa viongonzi wa michezo ambao wana mkwepa kumwita angalau kumpa kahawa. Huwa akipata point ya kusimamia hata kwa crane umtoi.
aliwahi kudakia Twiga Stars.
Alikuwa mcheza soka,timu ndo ckumbuki
Bwabwa fulani hivi.
elimu mbadala ya f4 inajumuHicho ndo kitu ninachompendea yule jamaa ndo maana nikaamua kumuulizia ili nijue anajishughulisha na nini hapa mjini kwa sasa. Leo mchana nilikuwa naangalia kipindi chao akadai chama cha mpira cha Temeke kinachoitwa TEFA (kama sijakosea) katiba yao inasema kiongozi anatakiwa awe na elimu ya Form iv au elimu mbadala, akahoji hiyo elimu mbadala ndo ipi hiyo? Mganga wa kienyeji au? Jamaa mtata sana.
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Bila shaka utakuwa ni mmoja wa viongozi wa vyama vya michezo wanaosakamwa kila week na kina Kipenga na wenzake.
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums