Abdul Kipenga ni nani?

Bila shaka utakuwa ni mmoja wa viongozi wa vyama vya michezo wanaosakamwa kila week na kina Kipenga na wenzake.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Mkuu ukimuondoa mzee Lwambo na Aziz waliobakia kwenye kipindi kile ni wasanii kupitiliza.. Kipenga ndo ovyo kabisa.. ukimkuta katulizwa na hao anaowasema hutoamini...
 
Hawa wapuuzi muwe mnaulizana huko kwenye inbox zenu.
Sio mnakuja kujaza thread tu humu.

Siyo kazi yako kutuAlert kwamba thread zinajaa, zikikaribia kujaa moderators watatupa official report na hukulazimishwa kuusoma huu uzi.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Mkuu ukimuondoa mzee Lwambo na Aziz waliobakia kwenye kipindi kile ni wasanii kupitiliza.. Kipenga ndo ovyo kabisa.. ukimkuta katulizwa na hao anaowasema hutoamini...

Sina shaka naye kwa hilo kwasababu anaonekana tuu ni mtu aliyejaliwa sound nyingi na siku zote watu wenye maneno mengi mara nyingi utendaji wao wa kazi unakuwaga sifuri.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Hata kama imechuja, jamaa ni old player flan ambae hakuwa na mafanikio yale ya kisupastaa enzi hizo, ila kwa timu kubwa kacheza pan africa then sigara, kiukweli jamaa alikua alikua kwny zile TFF za wilaya am not sure kama ni kinondoni au temeke, jingine ana bifu la wazi na sunday kayuni, nakanusha jamaa hana hoja nzito kama ulivyompamba ila ye sio mnafiki kwenye kutoboa uozo wa TFF ya Tenga, kuna tetesi alinyimwa kajicheo flani ingawa sio rasmi,
sasa nije kwako mdau sumu wakati mwingne uwe unapima threads za kutupia humu jukwaani na jaribu kuepuka za kimbea kama hii uliyotupia, pia kwa mtu hopeles kama yule ambae sio national figa wala famous kivyovyote sio ishu.
ni mtazamo tu na "kamwe siwezi kua adui kwa kusema ukweli".
 
Usijali mkuu, hatuwezi kuwa maadui. Nashukuru kwa maelezo yako. Kwa kukusahihisha, hili siyo jukwaa la maCelebrity ni la sports na huyu Kipenga ni mtu wa sports. Halafu ngoja nikufundishe kitu kama wewe ni mgeni hapa JF, hulazimishwi kusoma wala kuchangia kwenye kila thread utakayoina ndo maana mimi binafsi kuna majukwaa sijawahi hata kuClick nikachungulia kuna threads gani humo kwahiyo ACHA UMBEA.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
kun faya kun = acha moto uwake.
Stevelwa vs Sumu

Kama kawa. Sumu itakuwa imeshamwingia na sidhani kama aliweza kuwahi maziwa kwasababu kwa takwimu zilizofanywa zimeonyesha waTanzania wengi hatuna uwezo wa kunywa maziwa.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Kama kawa. Sumu itakuwa imeshamwingia na sidhani kama aliweza kuwahi maziwa kwasababu kwa takwimu zilizofanywa zimeonyesha waTanzania wengi hatuna uwezo wa kunywa maziwa.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

SIFA ZA KIJINGA MKUU SUMU, jaribu kukumbuka mwaka 1991 mzee bush alimpotezea Saddam, watu wa dizaini yako walifikiri Bush kashindwa au kaogopa ila tyming na pia vile wasukuma walivyosema "dont argue with a fool coz pple......"
nami humu ndani si wa leo, ila this tym nimekuja kivingne, ntaku P.M afu nikuoneshe kuwa ni kitambo sana nipo jukwaan.
ila napenda amani, na siku zote elewa kuwa ni ngumu kumuuua au kumtegea SIMBA SUMU acha uzoefu wa kuwinda panya mkuu, utachekwa. afu jukwaani utatengwa!

"KAMWE NAAMINI SIWEZI KUWA ADUI KWA KUSEMA UKWELI, ILA LILILO KUBWA NENO LANGU SIO SHERIA"

Sikujiunga JF ili nijuane na watu. Watu ninaojuana nao wananitosha. Angalia views za hii thread na comments zake utagundua kuwa hao wote walioisoma wakakaa kimya waliona huu uzi ni wa KIPUUZI so next time na wewe uwe unakaa kimya otherwise labda kama unatafuta umaarufu wa kijinga kwa kuComment kwenye kila thread.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…