Eli Cohen
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 4,460
- 13,715
Huyu tapeli wa jihad anashindwa kuijenga Yemen alioibomoa ila hakosi pesa ya kurusha makombora kwenda Israel na meli zinazopita Red Sea.
Hio yote inaonesha ni jinsi gani hawa watu walivyo wahanga wa itikadi za kitapeli. Wana hamu na damu za watu wasioamini kama wao then wanawafanyia vurugu kwa kisingizio cha kupigania haki.