Abdul-Malik nchi yako inapitia tabu ya baada ya vita lakini unasumbua watu ambao hawajawahi kukusumbua. Bila shaka asili yako ni vurugu

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
4,460
Reaction score
13,715
20241222_095516.jpg

Huyu tapeli wa jihad anashindwa kuijenga Yemen alioibomoa ila hakosi pesa ya kurusha makombora kwenda Israel na meli zinazopita Red Sea.

Hio yote inaonesha ni jinsi gani hawa watu walivyo wahanga wa itikadi za kitapeli. Wana hamu na damu za watu wasioamini kama wao then wanawafanyia vurugu kwa kisingizio cha kupigania haki.
 
View attachment 3182290

Huyo anajenga mazingira ya kupelekwa na Ziraili mapema kuwawahi mabikira zake 72! Anaona wengine wanamchelewesha!
 
View attachment 3182290

Huyu tapeli wa jihad anashindwa kuijenga Yemen alioibomoa ila hakosi pesa ya kurusha makombora kwenda Israel na meli zinazopita Red Sea.

Hio yote inaonesha ni jinsi gani hawa watu walivyo wahanga wa itikadi za kitapeli. Wana hamu na damu za watu wasioamini kama wao then wanawafanyia vurugu kwa kisingizio cha kupigania haki.
kwanin Israel inachelewa kumla kichwa huyu kama kina Nasrullah
 
Tumeanza kuibonda Yemen, baada ya muda itakuwa kama Gaza!

GOD BLESS ISRAEL
 
View attachment 3182290

Huyu tapeli wa jihad anashindwa kuijenga Yemen alioibomoa ila hakosi pesa ya kurusha makombora kwenda Israel na meli zinazopita Red Sea.

Hio yote inaonesha ni jinsi gani hawa watu walivyo wahanga wa itikadi za kitapeli. Wana hamu na damu za watu wasioamini kama wao then wanawafanyia vurugu kwa kisingizio cha kupigania haki.
Kwani wkt ipo chini ya Kibabaka wa Marekani Saudia na Israel ilikuwa na maendeleo yapi??? Tuanzie apo
 
Na bado anatoa pesa kwa ajili ya kumhonga Lissu amuunge mkono Mbowe. Ngachoka!!!
View attachment 3182290

Huyu tapeli wa jihad anashindwa kuijenga Yemen alioibomoa ila hakosi pesa ya kurusha makombora kwenda Israel na meli zinazopita Red Sea.

Hio yote inaonesha ni jinsi gani hawa watu walivyo wahanga wa itikadi za kitapeli. Wana hamu na damu za watu wasioamini kama wao then wanawafanyia vurugu kwa kisingizio cha kupigania haki.
 
View attachment 3182290

Huyu tapeli wa jihad anashindwa kuijenga Yemen alioibomoa ila hakosi pesa ya kurusha makombora kwenda Israel na meli zinazopita Red Sea.

Hio yote inaonesha ni jinsi gani hawa watu walivyo wahanga wa itikadi za kitapeli. Wana hamu na damu za watu wasioamini kama wao then wanawafanyia vurugu kwa kisingizio cha kupigania haki.
Anaishi mji gani????
 
Tunaigeuxa gaza mda si mrefuu mkuu na huyu ajiandae kuwalaki bikira 72
 
Back
Top Bottom