Abdul-Malik nchi yako inapitia tabu ya baada ya vita lakini unasumbua watu ambao hawajawahi kukusumbua. Bila shaka asili yako ni vurugu

Abdul-Malik nchi yako inapitia tabu ya baada ya vita lakini unasumbua watu ambao hawajawahi kukusumbua. Bila shaka asili yako ni vurugu

Mtasema kila kitu lkn ukweli wewe sio muislam basi khasara kubwa baada ya kufariki
Kisa tu jitu jeusiii tii linatamani kuwa liarabu. Huwezi kuwa liarabu ukiwa hai eti hadi ufe ukiwa muislamu ndo sababu kuu ya wewe kuwa muislamu eti uwe liarabu.

hovyo kabisa
 
Kisa tu jitu jeusiii tii linatamani kuwa liarabu. Huwezi kuwa liarabu ukiwa hai eti hadi ufe ukiwa muislamu ndo sababu kuu ya wewe kuwa muislamu eti uwe liarabu.

hovyo kabisa
Uislam sio uarabu wala uarabu sio Uislam
 
Jitu jeusi linang'ang'ania mila za kiarabu (Islam) eti ukifa libadilike kuwa liarabu 😡😡😡😡
"Enyi watu! Hakika Sisi tumekuumbeni nyote kutokana na mwanamume na mwanamke, na tumekujaalieni mataifa na makabila ili mtambuane. Hakika aliye mtukufu zaidi mbele ya Mwenyezi Mungu ni yule aliye mcha Mungu zaidi miongoni mwenu..."
(Surat Al-Hujurat: 13)

Hii inaonyesha kuwa thamani ya mtu katika Uislamu inatokana na uchamungu wake na matendo mema, si kwa rangi, kabila, au utaifa wake.
 
Jitu jeusi linang'ang'ania mila za kiarabu (Islam) eti ukifa libadilike kuwa liarabu 😡😡😡😡
"Enyi watu! Hakuna ubora wa Mwarabu juu ya asiye Mwarabu, wala wa asiye Mwarabu juu ya Mwarabu, wala wa mweupe juu ya mweusi, wala wa mweusi juu ya mweupe, isipokuwa kwa uchamungu."

Hii inaonyesha kuwa Uislamu ni ujumbe wa umoja na usawa kwa wanadamu wote, na kila mtu ana nafasi sawa mbele ya Mwenyezi Mungu kulingana na uchamungu na matendo mema.
 
Kwanini umeenda mbali hivo? Somalia wale Alshabaab hawana viatu, nguo zao pia ni dhaifu sana LAKINI tazama silaha walizo nazo, very expensive. Watu wanao wauawa ni ndugu zao na dini moja, same as Bokho harama, nao ni hivo hivo. No viatu mguuni or viatu na nguo dhaifu but silaha walizo nazo ni zile za pesa nyingi sana; inashangazaga sana
 
ndivyo anavyosema hapo ??

Tuambie wapi Yesu wako alimfufua mtu ?? Wenzako ma Professor wanakimbia
Acha kukalili wewe juha wa mud anabishana na bibilia?.....unamfananisha yesu na huyu jambazi mud mwizi wa ngamia wa watu...m*tako wahed
 
Acha kukalili wewe juha wa mud anabishana na bibilia?.....unamfananisha yesu na huyu jambazi mud mwizi wa ngamia wa watu...m*tako wahed
Hapo Ndio Yesu kamfufua mtu au kajifufua? Aya ipi hiyo kutoka biblia yako umeleta?
 
Back
Top Bottom