Akitoa salaam za familia, mtoto wa mzee Ali Hassan Mwinyi, Abdul Mwinyi amesema baba yao hajawahi kuugua katika kipindi chote cha uhai wake. Kaanza kuugua kwa mara ya kwanza miaka 2 iliyopita.
Kiswahili cha Wazanzibar hakieleweki na Wabara maarufu siku hizi kama Watanganyika. Kuugua kwao itakuwa inamaanisha hadi kulazwa. Sisi watanganyika hata ukipatwa na mafua kidogo tu ya kutoa kamasi, tunasema kuugua.